Mwanamke haridhiki

Unaweza ukamfanyia yote mpenzi wako lakini kama hujaonyesha true colours mwenzako ataona unaigiza tu. Kuwa real ndugu usifeki, matendo na maneno yako yaonyeshe uhai yaonyeshe kujali yaonyeshe care yaonyeshe pendo la dhati.
 

Ukiumwa unataka nikuhudumiaje?
 
Sasa kadi ya niniii tenaaas hahhhhaaa
 
Mapenz ya tamthiliya hayo tena za ki-mexico
 
ukiona hivyo ujue kuna mtu anatafuna,tafuta mke mwingine hao wanaokushaur kwamba mwanamke anataka vitu vidogo kwani angekufa kwa kukosa matibabu hicho kitu kidogo angepataje
 
Sisi wake zetu hawadai maua, oa kijana. Mpenzi wako nilidhani mchumba wako, hiki kizazi ni cha nyoka.
 
Kwanni uwe mtumwa???
Nashangaa sana wanaume wa sasa kitu cha kipuuzi kama hiki unamwambia unamwambia so ulitaka nikununulie kadi badala ya dawa?
Ukweli utakusaidia achana nae kuwa huru na maisha yako.

you are thinking like man..........

post zako huwa zinanivutia.........ni km mwanamke halisi wa kiafrica.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…