Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

Hahahaha, vya kuku duuh!! Ukifika kule Bwagamoyo bila mchezo wa nyuma hueleweki kabisa
 
Wandugu za miaka,Nimerejea katika jukwaa hili baada ya kukaa mbali kwa muda nikifanya utafiti namna ya kumfanya mwanamke atulizane katika uhusiano. Niseme wazi tu muda mrefu nimekuwa nikisoma na kufuatilia ushauri mbalimbali kutoka kwa marafiki na wanaojiita wataalam wa mahusiano nikijaribu kujipatia maarifa namna ya kumridhisha mwanamke na kumfanya akuwazie muda wote.Sasa nimekamilisha na chukua hii kutoka kwangu, wanaume wengi hudhani kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kufikia kilele ndio kumridhisha mwanamke, na pia wanaamini mwanamke ukimgeuzageuza ndio kummaliza kimapenzi. Kiukweli nilifanya haya yote ila sikuweza kuona ukweli mpaka nilipoamua kushughulika kitafiti, na hivi ndivyo nilivyofikia mjumuisho;1. Mwanamke kama ilivyo kwa mwanamme starehe ya tendo la ndoa huwa la burudani akifikia kileleni. Hivyo iwe ndani ya dakika 5 au zaidi lazima mwisho wake afikie kilele. Hata kama utafanikiwa kumfikisha kunako husika ndani ya dakika mbili inatosha kumfanya akuabudu.2. Wanawake wengi waliopata bahati ya kufikishwa ndani ya muda mfupi wamekiri kufurahia tendo kuliko walio chezeshwa segere kwa saa nzima na kuambuliwa msuguo wa joto pasipo kufikia kilele. Na mara nyingi tendo la ndoa likizidi dakika 30 huwa ni karaha kwa mwanamke na huondoa hisia zote hivyo uwezekano wa kufikia kilele hupotea kabisa.3. Ukitumia muda mwingi kumchezea na muda mchache kumfikisha utakuwa umemmaliza kabisa mtoto wa kike. Wanaume wengi hudhani kumchezea ni lazima iwe kumnyonya kisimi, hiyo ipo lakini kubwa ni kufikia sehemu ambazo hajui kama utafika "surprise visit" kwa mfano unyayoni, chini ya magotini, kwenye viganja vya mikono na hata kunyonya nyama za makalio.Basi amini nawaambia ukiweza kuzingatia theory hii fupi wewe utawekwa kichwani na mwanamke wa aina yoyote. Angalizo, huduma kwa mwanamke ipo pale pale huo ni wajibu wa kiroho mjomba usikwepe kisa umefanikiwa kumridhisha kimwili...njaa ni adui wa mapenzi.:wave:
Hii theory ita apply kwa baadhi ya wanawake. Wanawake wengi hutofautiana sana kuna wale wanaopenda maandalizi ya muda mrefu na huchukua muda mrefu kufikia kilele,kuna wale ambao huona ni usumbufu kushikwashikwa kunyonywanyonywa na huwa wanataka kuchezewa na uume toka mwanzo wa mchezo mpaka mwisho na huchukua hata saa nzima ili kufikia kilele,kuna ambao hupenda kuchezewa sana na hufika wakati wa kuchezewa tu na hawa wana uwezo wa kufikia kilele hata mara tatu ndani ya nusus saa! Katika wote hao kuna wanaopendwa kugegedwa kwa spidi (fast strokes) na kuna wanaopenda polepole (gentle slow movemements),wapo ambao kwa mtazamo wangu hawajui kufika na akutokufika kukoje hawajui wanachotaka hawajui washikwe wapi na wao muda mwingi watamuuliza mwanaume kama keshafika (hilo ndo huwa muhimu kwao,kumfikisha mwanaume mara nyingi kadri iwezekanavyo). Kwa ujumla huwezi kufikia conclusion kwenye utafiti wa namna ya kumridhisha mwanamke!ila ni bora anaefika haraka kuliko anaechelewa!
 
Bora anaewahi kufika hii ndo point yangu, unaweza kutumia muda mrefu kusuguana lakini jambo la msingi ni kumjua mpenzi wangu hufurahia nini kikubwa.
 
Wandugu za miaka,

Nimerejea katika jukwaa hili baada ya kukaa mbali kwa muda nikifanya utafiti namna ya kumfanya mwanamke atulizane katika uhusiano. Niseme wazi tu muda mrefu nimekuwa nikisoma na kufuatilia ushauri mbalimbali kutoka kwa marafiki na wanaojiita wataalam wa mahusiano nikijaribu kujipatia maarifa namna ya kumridhisha mwanamke na kumfanya akuwazie muda wote.

Sasa nimekamilisha na chukua hii kutoka kwangu, wanaume wengi hudhani kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kufikia kilele ndio kumridhisha mwanamke, na pia wanaamini mwanamke ukimgeuzageuza ndio kummaliza kimapenzi. Kiukweli nilifanya haya yote ila sikuweza kuona ukweli mpaka nilipoamua kushughulika kitafiti, na hivi ndivyo nilivyofikia mjumuisho;

1. Mwanamke kama ilivyo kwa mwanamme starehe ya tendo la ndoa huwa la burudani akifikia kileleni. Hivyo iwe ndani ya dakika 5 au zaidi lazima mwisho wake afikie kilele. Hata kama utafanikiwa kumfikisha kunako husika ndani ya dakika mbili inatosha kumfanya akuabudu.

2. Wanawake wengi waliopata bahati ya kufikishwa ndani ya muda mfupi wamekiri kufurahia tendo kuliko walio chezeshwa segere kwa saa nzima na kuambuliwa msuguo wa joto pasipo kufikia kilele. Na mara nyingi tendo la ndoa likizidi dakika 30 huwa ni karaha kwa mwanamke na huondoa hisia zote hivyo uwezekano wa kufikia kilele hupotea kabisa.

3. Ukitumia muda mwingi kumchezea na muda mchache kumfikisha utakuwa umemmaliza kabisa mtoto wa kike. Wanaume wengi hudhani kumchezea ni lazima iwe kumnyonya kisimi, hiyo ipo lakini kubwa ni kufikia sehemu ambazo hajui kama utafika "surprise visit" kwa mfano unyayoni, chini ya magotini, kwenye viganja vya mikono na hata kunyonya nyama za makalio.

Basi amini nawaambia ukiweza kuzingatia theory hii fupi wewe utawekwa kichwani na mwanamke wa aina yoyote. Angalizo, huduma kwa mwanamke ipo pale pale huo ni wajibu wa kiroho mjomba usikwepe kisa umefanikiwa kumridhisha kimwili...njaa ni adui wa mapenzi.:wave:
somo zuri aisee
 
I strongly support your research, fiksiman. .....japo ID yako yaogopesha kuaminiwa, lkn kuna senses!!!!
 
Mungejuaaaaa? Maneeenah. Huu mwendo wa chicken run autake nani???
 
Hata iweje mechi ndefu ina raha yake... Hizo dakika tano unajipa moyo tu mkuu.. Mwanamke wa ukweli anataka mgaragazane haswa sio kulambishana.

Sijui labda hawa wasichana wa digital ndio wanataka short run.
 
Hahahaha Window7 utakuwa unajipa moyo tu, mgarazo mwisho wake nini kama si kuumizana
 
Last edited by a moderator:
Tungepata mawazo ya waliofanyiwa utafiti pia ingetusaidia japo kidogo. lara 1 wapi hapo?!!
 
Mapenzi ni uchafu ndugu so ata ukizama chumvini sio mbaya ndo bomba kinoma
 
Ni kweli mkuu ulichokiongea ila mhhhhhh.........haya mambo wakati mwingine unafanya kwa nia njema ya kumfanya mwenzio afurahie mambo ya 6 x 6.........cha ajabu siku chache baadae unakuta mtaani kila mwanamke anasimulia jinsi ulivo mjuzi wa mambo ya kumridhisha m/ke kunako 6 x 6......sasa unajiuliza hawa wamejuaje kumbe bidada keshaenda kujitamba kwa wenzake eti unamfikisha
 
Threads km hiz usiku usiku ndio biyee sio asubuhi asubuhi tena j3 muda wa kazi mtu anatupia mambo hizi.
 
Back
Top Bottom