wakuuu!
mwanamke aeleweki hadhima yake,
rejea kichwa cha habari hapo juu
walipenda baadae wakatengana lakin chakustaajabisha baada ya kutengana mwanamke analeta ubabaishaji wa akili kwa mwenzake wakati anajua wameshatemana
mara anatumie namba nyingine na kujitongozesha
mara mapicha picha kibao whatsaap alafu mwisho utakuta "sorry nime wrong namba"
mara atumie whatsaap ya shot wake kukupima kama utamtongoza shost wake na anajua fika mmeshatema
na vituko vingine kibao vya kitoto toto
sasa kwenye bottom line mwanke wa desgn hii tumuelewe vipi jamani wakuu
wakuuu!