FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Niko katika harakati za kupata picha hapa..
Niko katika harakati za kupata picha hapa..
Aisee. .
Kulikuwa na habari ya mama kujifungua Chatu, huyu naye Laptop. ..
kweli maajabu hayatakaa yaishe.
Aisee. .
Kulikuwa na habari ya mama kujifungua Chatu, huyu naye Laptop. ..
kweli maajabu hayatakaa yaishe.
Kidogo kidogo mpaka atatokea wa gari........tusubiri
Yataishaje wakati wanadamu tumeache kumcha Allah na badala yake tupo busy na anasa za dunia?!Aisee. .
Kulikuwa na habari ya mama kujifungua Chatu, huyu naye Laptop. ..
kweli maajabu hayatakaa yaishe.
Aisee. .
Kulikuwa na habari ya mama kujifungua Chatu, huyu naye Laptop. ..
kweli maajabu hayatakaa yaishe.
kwani huyo mwanamke unamjua!Afu hiyo laptop imepitia wapi?ninapopajua mimi au pengine??:juggle:
Yataishaje wakati wanadamu tumeache kumcha Allah na badala yake tupo busy na anasa za dunia?!
Hayo ni madogo tu yapo mengi tutayaona...
marejesho
Preta
Starehe Kitandani
NIGGA
Mtoto halali na hela
Hebu angalieni jukwaa iliyowekwa thread yenyewe!!!
Kha ha ha ha haaaaa! Nilijiuliza sana!!