Mwanamke 'Cheap' mi hanifai..!!!

Mwanamke 'Cheap' mi hanifai..!!!

UGOKO MKAVU

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
202
Reaction score
79
Mungu nijalie demu mpenda
pesa
kila siku nipigane kuwa
bakhresa
Asinipende mimi apende verosa
Wana wamegewa wengi ndio
kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana
Huyo demu hanifai
changamoto hana
Ikiwa demu wako anapenda
vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge
kiwanda changu
Sitaki demu wa kitanga jioni
moja kanga Tayari amejipanga kwa
mabusu mangapi
Demu nayemtaka manka wa
kichaga jioni anaulizaga
umeingiza sh ngapi
 
ukweli ni huu ukiwa na binti mwenye matumiz makubwa anakupa changamoto za kutafuta pesa na akili inapanuka unajua namna ya kupata pesa.

lakin ukiwa na bint ambaye matumiz yake madogo akili nayo inalala unakosa mbinu mpya za kutafuta.

mim napenda bint anisumbue mfano aniambie anataka kwenda shopping bangkok. holiday U.K.Paris. Sweden etc

nashauri wanaume mpende mabint wanaopenda pesa wawape changamoto za kusaka pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom