Mwanamke bikra

Swali limekaa kitoto...yaelekea huyu bado anakuwa...
Ila yapaswa kujibiwa jamani, sababu aulizaye hajui anataka kujuzwa. Kama unaweza mjibu kisha mkosoe kwa swali lake ila hapa kila mmoja anampa madogo pasipo kujibu lol !!

Jibu ni kuwa: Bikra original mara nyingi ikitolewa hutoka na vichembe chembe fulani vya damu...sio damu nyingi kama ulochinja kuku la hasha...

Pia hiyo bikra ya huyo dada dahhh inautata kdgo. Pia ukumbuke kuwa siku hizi kuna bikra za kichina kaka usiwe unadanganywa danganywa kitoto.

Kisa kimoja cha binti wa karibu yangu:
Alikuwa akichukuliwa usiku na watu wanaona, mara unasikia katembea na huyu, mara unasikia kawa na huyu. Wakati mwingine anaaga kwao yupo kwangu kumbe amechepuka na mwanaume..Hadi siku ya siku nikaona huu utakuwa msala anasema yupo kwangu wakati hayupo kwangu, anakuja kuacha nguo tuu na kuniomba kuwa akitafutwa niseme yupo kwangu..Nikamkomesha siku kuwa sipendi kwasababu likitokea tatizo mimi nitalaumiwa. Akahama kwangu sijui alipohamia.

Siku ya siku jibwana akajipendekeza ambaye si wa maeneo yale...Kutoka nje ya nchi ambaye anafahamu familia ile. ...Kampenda mtoto...Mtoto akaanza kuhangaikiwa kutengenezewa bikra na wazazi wake...Bwana akaambiwa kuwa hawezi kumuingilia binti coz ni bikra...Bwana kavumilia..Kweli akaoa na siku ya siku Bwana akiwa ktk majamboz....Tukajapata mrejesho kuwa binti alikutwa bikra.....bwana akajua kapaata binti mbichi.......DAH KILA MTU MACHO YAKAMTOKA KWA AMBAO TUNAMFAHAMU NA KUTABASAMU KICHINI CHINI.....Ni kuwa duh bwana amechukua kahaba bila kujitambua.....

NDIO HIVYO BIKRA ZA LEO HII NI ZA KICHINA NYINGI..


***********************


 
Af unajiita man of the year....kweli uanaume siku hizi si mali kitu...suruali tu

Sasa comment yako inahusika vp na mada? Au unaumizwa ikisikia bikra? Me coni kosa la mtoa mada hadi acwe Man of the Year, km mtu hajawahi toa msichana bikra hawezi kuijua. Wapo wanaume wengi tu hawajawahi kukutana na bikra na ni wanaume malijaro na watanashati, inategemea background ya mvulana wengine walikua walikulia maznhira ya dini. Maadam kaleta swali sehemu hucka msaidieni co kujifanya mnajua sn ngono. Kuzijua bikra hakukufanyi kuwa Man of the Year wala kutozijua hakukufanyi kutokuwa Man of the Year. Watu wamekua Miss Tanzania na skendo kibao na watoto juu, nyi vp!
 
Last edited by a moderator:

Kwanza nikutaarifu kuwa mimi ni ke maana nahisi inadhani mimi ni me. Tukirudi kwenye comment yangu nahisi hata hujaelewa nlikuwa namaanisha nini umekurupuka tu. Mantiki yangu ni kwamba swali lake ni la kipuuzi. Anaonekana mvulana huyo uanaume hajaufikia bado ndio maana mi kwa mtazamo wangu naona hastahili kujiita 'man of the year' mwanaume aliyekamilika hawezi kuanzisha thread ya namna hiyo kutueleza jinsi alivyofanya mapenzi na mpenz wake af atuulize kuwa eti ni bikra au sio bikra.....
 
hilo chezo hata mimi lilinikuta, kumbe ni mke wa mtu aliyeachika na ana mtoto!! hapana chezea, ni wajanja sana hao!!
 

Nafaham sn km Kantwe wewe ni Ke kipitia comments zako. Jamaa yupo sahihi kuleta swali hapa kumbuka hii ni forum ya mahusiano, mapenzi na urafiki. So hili ni swali la mahusiano na mapenzi, kulikua na haja ya kumuelekeza namna bikra inavokua hasa wewe Ke ungeweza kuwa msaada kwake nà kwa wengine wakapata Elimu hiyo.
 
wewe mwenyewe malaya alafu Unataka kujua mwenzako ni bikra au sio bikra....! thats is amaizing!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…