Mwanamke bikra na asiye bikra

Kati ya coment zoteeee kwangu hii ndo nimeona point ubarikiwe mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mnazungumzia bikra ya mtandao upi, voda au tigo??? voda mpaka vijijini huko japo kwa nadra sana, tigo hata manzese unaweza pata
 
kama voda, kweli si rahisi kuipata na sijui anafanyaga kazi ya kubandua na kusepa
 
Hiv mtu anaposema Mwanamke Used Hawaeshimik anakua anamaanisha nin labda au siku hz wanawekewa label,na km unamaanisha ndan ya ndoa ili hal wewe watuaminisha umeoa alie bikra umejuaje ?au una wake wawil!na heshima hapa unamaanisha nin labda,kuamkiwa shikamoo,kusikilizwa kutosalitiwa au labda tuelewane hapa!
kama kuna heshima mwanamke yeyote anahitaj ndan ya ndoa ni mumewe kutochepuka kwa hiyo mnaosema mwawaheshimu wake zenu walio mabikra hamchepuki?98% ya waume walio katk ndoa wamewah chepuka ina mana tuamin wote hawa walio used!
mambo mengne msidanganyane kwan ni yakusadikika mabib zetu wenyew waliolewa mabikra na wapo waliozaa watoto haramu ndan ya ndoa!
Eti Anakua Hana Comparisom Mtoto Mchanga mwenyewe anaejua ziwa la mama tu huwez mpa juic akakubal,kuna vitu mwanadamu hafundishw kwa hyo ht km utaoa mwanamke bikra km humlidhishi atajua tu! na sio gurantee kua anakupenda ww tu na hatakuja kupenda anaweza kuja kupenda tena akatiwa vocal na akachepuka vile vile !kumbuka uoga na heshima ni vitu tofaut!
 
Mwanamke anatolewa Bikra Kila afanyapo tendo la Ndoa...Sasa inategemea wewe mtoaji umeweza kuitoa???

Msidanganyane..Jitahidi ukiwa unamfanya uhakikishe kweli umemtoa Bikra..Sawa sawa??!!

Nazani wakubwa mmenielewa saana!!
 
Huu uzi wadada wameukimbia! Comments zao zimeadimika kuliko pesa ya Magu.
 
Sasa apo Izo picha Za bikra ameziba. Akivunja ungo na angali bikra damu inatokea wapi?
 
Nakuunga mkono ndugu.. Mimi binafsi mwanamke bikira naona anazingua tu ; hana uzoefu, kelele nyingi, nikitaka kusukuma nanga mpaka kinani tabu tupuu.. Kwa ufupi Shughuli Yangu pevu na nahitaji nguli mtu.
....mkiingia vitani Shughuli inakuwa pevu... Wanawake bikira nawaachieni Nyie mpendavyo vya rahisi.
 
Si wanawake wote waliozaliwa na hymen, wanaume wengi na jamii zetu hawaelewi hicho kitu. wapo wanawake hawajaziliwa na hymen hivyo wanaonekana si Bikira,. swala la Bikira hata mwanaune unatakiwa uwe Bikira sio swala la mwanamke tu.
Nijuze juu ya HYMEN tafadhali
 
Hatuongelei swala la Ujuzi ama utundu kitandani..hoja hapa ni Iko wapi heshima ya mwanamke ktk kuolewa..yaani uaminifu katika kujitunza na hatimae kuolewa akiwa Bikira.

Acha kurahisisha mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…