Unavumiliaje ujinga kama huo!!!!
Yaani nimkute manzi angu na njemba wametoka kutiana niwaache???...Yaani kichapo kingeanza palepale, ningeanza na hako kajamaa kako uchi,ni vifuti vya mapumbu hadi kakinai, manzi nae adhabu yake angejuta kudate namimi.
Au hicho kijamaa kilikuzidi mbavu ndio maana ukawa mnyonge???
Watoto wa Nonde hatukosi beto la kumtoboa mtu tukimshindwa kwa ngumi,
Sinaga simile na mambo ya kijinga.