Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi

Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi

Habari hii haiko vizuri,
Mama anafua nguo nyumbani saa sita mchana, alihusikaje na hao polisi sasa.
Waseme mtu walimmwangosi mama wa watu.

Risasi haina macho ndugu na sio kama mtu kwamba ukimtuma aspopata alichotumwa anarudi, ile ikikosa target itapiga itakapofikia.
 
kwa hivyo huyo aliye uawa wewe hujaliona ila la raia kuzuia askari kufanya kazi yao ndio lililo kugusa! Heri kuwa mavi kichwani kuliko kuwa na akili kama wafuasi wa ccm?

Enyi mlio lala ucngiz wa pono je mngali mkiendelea kwenye dimbwi hli la kina kirefu? naendelea kuwasemea wale wote wanaoteswa pasipo haki !! iko siku damu hii itakuwainawaongelesha na hata kuwauliza kuhusu mateso na manyanyaso.
 
Tumuombee Mungu ailaze pema roho ya marehemu! na pia jesh letu la tz linaitaj maombi NDUGU ZANGU TABIA YA KUTESA WANANCH WASIO NA HATIA.. LEO KAMA NI WAFWATILIAJ WAZUR COMMANDO KAUA NA HAO police kama wanavosema bahat mbayaA.. Ni mda wa kuangalia ni wap twaelekea na aman yetu ya tanzania..MUNGU IBARIK TANZANIA WABARIK NA WATU WAKE
 
Wewe niaje asee! Tufanye maombi ili jeshi lisitese raia? Jeshi la polisi linahitaji kufumuliwa na kufumwa! Wanaohitajji maombi ni wazinzi.
 
JESHI LA POLISI KUUA ni kukiuka agizo la waziri mkuu, yeye aliagiza watu wapigwe, na wakiua taarifa yao haikosi mapambio ya silaha za jadi nk
 
Inasikitisha sana.

Hivi askari hawapati mafunzo ya kutosha linapokuja suala la usalama kwa wasio husika?

Huwezi kufyatua risasi kwenye kadamnasi ya watu kisha uje kusema bahati mbaya, nakataa
 
Wananchi kuwazuia polisi kufanya kazi yao ni hatari sana. Alale salama.
wananchi wakizuia polisi ndo kuua wasio husika, mama anafua sijui ni pembeni au hewani ila anapigwa risasi. kwa nini wananchi wazuie polisi hapa kuna tatizo tena kubwa
 
kwa hiyo huyo mama hata alovyosikia risasi ya kwanza hewani aliendelea kufua tu!!??.. na hata purukushani zilivyoanza yeye bado aling'ang'ana na povu tu!!?? INAWEZEKANAJE
**raia haohao waende kwa polisi kumripoti mhalifu..haohao raia wasaidie na kwenda kumfichua mhalifu..haitoshi tena hao hao wamsaidie mhalifu asikamatwe..PATHETIC
SHENZI ZAO KWA KUTUNGA UONGO... #$£¥★☆☆!+×× ZAO
 
Tunahitaji uchunguzi huru...hii kusikiliza watuhumiwa wakupe ripoti ya uhalifu walioufanya haikubaliki
 
kuna kitu kimefichwa apo.habari haijitoshelezi.
 
Tukiamua kutafuta haki kwa kutumia vurugu lazima kuna watu watakuwa sadaka.bahati mbaya kwao.

RIP MOM.
 
Hii Habari katiba mwanzo Mwisho, sijahi kuwaamini Polish zaidi ya asilimia 13%. Maswali ni mengi sana kwenye hii insha...
 
Habari hii haina tofauti na habari ya zombe baada ya mauaji ya vijana wachimba madini. Bila kufanya mabadiliko ya kimfumo katika jeshi la polisi Tanzania, watu wengi wasio na hatia watauawa. Tuanze kwa kuweka utaratibu wa kufidia pale chombo cha serikali au binafsi kinapo "malfunction" Kama polisi wanapoua/jeruhi na Kama wale madakatri walio "kichwa-mguu"
 
good job kaka polisi alifanya vizuri kumuokoa mwenzake kama raia wamechoma hata usafiri ili wakiwadhuru wasiweze kukimbia alifanya vizuri ingekuwa mm wangenikoma .Yaani hakuna cha hewani ni kichwa kwa kwenda mbele kwa kuwa now dayz tunataka kulitia jeshi la polisi vidole
 
Hufikirii kuwa hao raia baada ya kuona huyo mama kauliwa ndio wakaamua kuchoma hiyo pikipiki..
ILA risasi zikikuishia ujiandae kuuliwa kifo chenye mateso makali tena mdogomdogo
 
Risasi haina macho ndugu na sio kama mtu kwamba ukimtuma aspopata alichotumwa anarudi, ile ikikosa target itapiga itakapofikia.

Haina macho kwa asiye na shabaha ina macho kwa mwenye shabaha na anayejuwa matumizi sahihi ya silaha
 
Sijui kwanini polisi wakitoa taarifa hawaisomi tena na tena ili kuondoa uwezekano wa kuulizwa maswali mengi yasiyo na majibu.
 
Dah ebu fikiria kama angekua mama ako ndo kauawa na hao polisi dah siyo lazima ukomenti waweza tulia ili kuficha upunguani wako hapa jamvini. RIP. MWANA MAMA.

Back
Top Bottom