Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,756
Mkuu unaingia porini halafu unashangaa kukutana na miti??
Mimi natumia badoo ila sijafanikiwa kuona hayo yanayosemwa na mkuu hapa ndani kwani ni makubwa mno ila nakuhakikishia insta ni moto wa kuotea mbali.bora insta mara 100 kuliko badoo
Nenda badoo ukajionee.Sijaelewa unamaanisha nn mleta uzi
twende mdauNgoja nikajiunge ili nithibitishe haya uyaongeayo!
WapiNenda badoo ukajionee.
Badoo!Nenda badoo ukajionee.
Mmhh! Hatari sana.Mkuu unaingia porini halafu unashangaa kukutana na miti??
Asante mkuu!Pole...
insta si mpk utongoze na vile wanavyojiweka uchi labda lkn badoo wanakutongoza wenyweMimi natumia badoo ila sijafanikiwa kuona hayo yanayosemwa na mkuu hapa ndani kwani ni makubwa mno ila nakuhakikishia insta ni moto wa kuotea mbali.
hatari hapoinsta si mpk utongoze na vile wanavyojiweka uchi labda lkn badoo wanakutongoza wenywe
nipe jina lako niku followUnatumia jina gani nikufollow
Naona na wengine wameanza kupanua biashara yao, wameanza kuhamia jf.mmoja sijui anaitwaga ray...nan vile sijui.Jamani watoto wa kiume..!
Niko jf,whasap,IG na IMO tena ht miezi miwli sina!BADOO hiyo ndio shughuli yake na bei unatajiwa watu wanajiuza live yaan ukiingia huko unaonekana na ww ndio walewale
Mbona mnakwepana [emoji3]nipe jina lako niku follow
Unatumia jina gani nikufollow
huyu naimani ni shoga mkuu pamoja na mwenzie nyani ngabu.Naona na wengine wameanza kupanua biashara yao, wameanza kuhamia jf.mmoja sijui anaitwaga ray...nan vile sijui.
Nikikumbuka jina lake ntakwambia.usishangae