Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

1477835304424.png
1477835316410.png
1477835326347.png
 
Mbona mimi niko huko na sipati hizo meseji?? Labda utakuwa umeweka interested na male...or dating with ...
 
C utani, binafsi kuna jamaa aliwahi kunitext eti anataka kuja kulala na mie ili nimbutue[emoji3][emoji3], nikamwambia nakaa kota za Polisi Oysterbay ndio akaingia mitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejaribu hiyo badoo lakini chakushangaza niliowapata wote niwake za watu takriban wanawake nane wote wamekubali kugegedwa kweli tuliokwenyendoa tunawakati mgum
 
Ha ha ha ha..utakua uliset "ur interested in males"....badili interest bro
 
Back
Top Bottom