Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!
Vinginevyo labda mafweza ayapatie ndani ya ndoa.
Hatumtishi bana. Tunamshauri. Kama ana mapesa yake anajenga huko Salasala, aende kanisani amwombe Mungu amkutanishe na kina Rdiwani Kikwete, January Makamba, TID, Mwisho Mwampamba, Eric Shigongo, Nape Nnauye na watu wa aina hiyo... mambo ya fweza au umaarufu. Lakini kwa vijana wa aina tofauti, JS atamegwaaaaa lakini kuolewa ng'ooooooooo!!!
Vinginevyo labda mafweza ayapatie ndani ya ndoa.
Halafu wewe? Usisahau sisi ni waume za watu, chondechonde usitupe namba zako za simu lol:nono:
Wala sijatishika Nyamayao hakuna kitu kama hicho mie naendelea kujiendeleza kwa kwenda mbele
Asprini mimi binafsi sina shida na mtu maarufu koz i like keeping it low myself..........pia sina shida na pesa kihivyo kwa kweli. what i need from a man its pure love na sio fedha na umaarufu. So hiyo aina ya kama Fidel ya kumega na kusepa kwa kweli sio nzuri and there will be serious effects in the end
Njoo nikupoze moyo binamu yangu
:whoo::whoo::whoo:huyo Asprin anakuvuruga ubongo, jamani wewe Asrin mpeleke JS pole pole...TID?
Inabidi nimuunge mkono asprin kwa jambo moja though.........
Mwanamke ukiwa na pesa nyingi sana jaribu kutafuta mtu mwenye nazo pia manake akiwa hana kabisa nnaweza kukwazana.
Mwanamme kujisikia inferior kwa mkewe inaweza kutoa changamoto kwa ndoa.
Nafikiri suala utumiaji wa pesa na definition ya hii kitu inaweza pia kuweka doa
pata picha dada wewe kununua pea ya viatu kwa shilingi laki tatu ni kawaida wakati mwenzio ndo mshahara wake wa mwezi! Atashindwa kukuelewa
hahaha kaizer mimi nilienda hospitali nikaandikiwa nivae miwani ya jua (cross my heart and hope to die) 😀
sasa ukinikuta nayo pia utasema u sister do au? 😀
:whoo::whoo::whoo:
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:Mimi big brother, nikiwa na akili zangu timamu, na bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu yoyote, nawashauri vijana wa kiume ambao hawajaoa kuwa wasithubutu wala kujaribu kuoa wanawake wa aina zifuatazo, kama wanataka ndoa imara:
- Waliowazidi kimapato
- Waliowazidi kielimu
- Waliowazidi kiumri.
Nimeongelea kwa uzoefu kwa hiyo sipendi kuulizwa maswali. Kama wanabisha, wajaribu halafu yakiwashinda wakuje hapa kuanzisha masredi ya kuomba maushauri ya ma griit sinkaz!
just acidic!na acid ni nani tena jamani mbona mnatukomfyuzi wengine?....isomeke hivyo hivyo nilivyoandiki...lol
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:
kwanini ashindwe kunielewa kama kuna mapenzi ya kweli kati yetu? c na mie nitamnunulia hicho kiatu cha laki 3?....na huyo wa mshahara wa laki tatu nae atakuwa alijitakia kujitumbukiza kwenye shida ili alelewe, othrwise kama anapokea laki tatu na ana mapenzi ya kweli akae wasaidiane japo kimawazo nk kama ametaka kuwa na mtu wa juu yake...hapo hapo umemuweka barabarani mambo yake safi anang'ara then anaanza sasa kuvua chu..pi za nje, yaani mie cjui kabisa unaweza mpiga mtu kikuku cha ta..ko afie njoro.
satisfactory?......sawa bwana...
wewe unasapoti hiki kitu? ina maana ucngemuoa JS?....mie bora ningefurahia coz ninapata mwanamke anaejua kuzisaka faranga.....