Aaah wapi utaweza kupiga dash asubuhi wewe?then tunakula usiku.....!!
Tatizo mnatembea na mke wa mtu. Hao wote ulokwishatembea naomba unadhani Mungu alikuumbia wewe tu? Kuna wanaume ambao hao wapenzi wako wanatakiwa kuwajali na kuwapenda, ukipata wa kwako hatakusumbua kabisa.Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela
Aisee Mungu anawaona wanawake mnaroho ngumu sana,wanasema kumuelewa msichana ni ngumu ila kuwa tu na hela utamsoma,mapenzi siku hizi yanamahusiano ambayo ni transaction hupati penzi hadi utoe hamasa huu ni mtazamo wangu 90% japo sio wote ,kuna haja ya kufanya utafiti wa kina relationship kati na mapenzi na fedha au utajiri na hii sometimes ipo hata kwa wanaume lakini % chache sana
Ukimpata mwanamke anayekupenda kwa hali yoyote na kukujali usimuache!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sir God anawaona!!Siku hiz thread za wanawake kuomba hela zimekua nyingi msitufanyie hivi Mungu anawaona we kama unayo toa tu sio unakuja kulalamika
[emoji16][emoji16][emoji16]too much sasa kila ukiingia lazma ukutane nayo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sir God anawaona!!
Kuwe na jukwaa la wanawake!na malalamiko yao kutoka kwa wanaume![emoji16][emoji16][emoji16]too much sasa kila ukiingia lazma ukutane nayo
Hahahhh na kweli [emoji28]Kuwe na jukwaa la wanawake!na malalamiko yao kutoka kwa wanaume!
maana kila Siku wanawake hiki,wanawake kila[emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahahhh na kweli [emoji28]