Mwanamke anaridhishwa na nini?


Natamani kujua maana ya kuridhika inayozungumzika hapa.

Tusizungumzie kwa mwanamke tu bali hata kwa mwanaume..

Kuridhika ni furaha katika mahusiano! Je siku akikukerwa ni moment zote hiyo furaha itakwepo!.

Ok, factors zipo nyingi financial,kitandani,emotion n.k. ni kweli kuna mwanamke/mwanaume anayetimiziwa the full package.

Au aliye na changamoto chache ndiye ataridhika na aliye na nyingi hata ridhika?
 
Kila mmoja ana hitaji tofauti...wewe wako anahitaji nini?
 
Tendo la kuridhika siyo Permanent.....WANAWAKE NI WATU WA MOOD HISIA ZAKE ZIAWEZA KUMTUMA KWA MWANAMME MNENE NA WEWE ULIYENAE NI KIMBAUMBAU!....ASIPOKUHURUMIA NA KUKUHESHIMU( amelambwa)...
"Kuridhika" ni suala pana saana mzee.

Unaweza ukaridhika na Nyumba ila usiridhike na samani zilizopo au na sewage system au bulb au hata crack za nyumba.
 
"Kuridhika" ni suala pana saana mzee.

Unaweza ukaridhika na Nyumba ila usiridhike na samani zilizopo au na sewage system au bulb au hata crack za nyumba.
Yaani ndiyo hivyo!...Mungu ametuumbia Tamaa binadamu wote kwa Usawa sasa kuihimili ni wewe muhusika na skills zako za kuishinda tamaa ili uridhike!!...
 
Why watuonee huruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…