Mwanamke anapotaja jina la mwanaume mwingine mkiwa faragha

sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
973
571
Pale unapokuwa faragha na mpenzi wako halafu akataja jina la mshikaji mwingine inamaanisha kuwa umem-do kiwango sawa na huyo jamaa alie mtaja au nini?

Halafu unamuulza anakwambia ni jirani yake amemzoea (ila hata mimi nilishawahi kutajwa jina na mwanamke wa rafiki yangu wakati wako kwa mchezoni).

Hebu niambieni nyie unawazaga nini baada ya hili kuwatokea?
 
Back
Top Bottom