Sasa wewe kwani Mungu aliwakataza kupata utamu? Mungu aliweka utaratibu wake wa namna ya kupata huo utamu ambao ni Ndo halali kwa mujibu wa Dini lakini sasa ninyi wanaume tamaa zimewazidiWanawake wasingekuwepo duniani, shida na dhambi nyingi zingepungua. Ila ukweli ni kuwa tungemisi kitu kimoja kitamu sana. Wanawake wamesababisha watu wasimwogope Mungu. Ni rahisi sana kumsaliti Mungu kwa sababu ya utamu wa Mwanamke.
Mi penda sana utamu wa mwanamke. Hakika wanawake ndo watanipeleka motoni. Dhambi nyingine ni rahisi sana kwangu kuzikwepa, isipokuwa ile ya utamu wa mwanamke asiye mke wangu.
Kwa kweli dhambi hii hata majogoo na mabeberu hawaikwepi.
Mungu atusamehe tu, manake utamu wenyewe kausababisha yeye.
Amina.
Nakusubiri tena uharakishe
|
Acha uongo!
Mh, unaposema eti hakuna sehemu ambapo vitabu hivi vimesema Eva akamdanganya Adam unakuwa umekosea. Biblia yangu kuanzia Mwanzo 3:1 inasema nyoka alianza kukutana na Eva kwanza then Eva akaongea na Adam kuhusu lile tunda na si nyoka kuongea na Adam. Acha uongo wako Zinduna.
Itabaki kuwa Eva/mwanamke ndiye aliyemshawishi Adam/mwanaume kula tunda.
Zinduna soma kwa makini maandishi mekundu...pia elewa maongezi yalianza baina ya nani na nani?
Mwanzo 3
1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;
3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.
Sasa wewe kwani Mungu aliwakataza kupata utamu? Mungu aliweka utaratibu wake wa namna ya kupata huo utamu ambao ni Ndo halali kwa mujibu wa Dini lakini sasa ninyi wanaume tamaa zimewazidi