Mwanamke anapenda nini kwa mwanaume

Mwanamke anapenda nini kwa mwanaume

BenMcAfee

Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Hv wanawake huwa wanavutiwa na nn kwa manaume!!! Pesa ama Mapenzi ya kabla ya kuingia kwene ndoa!!!! Nasema hv cuz ukiangalia wengi waume zao wakichuja wanaanza ile..kutafuta wakuhudumia
 
Wanapenda rungu tu ..... usipotembeza vzr ndo yanakupata hayo...
 
Mhhh Kibweka
Hebu ngoja waje watuambie wanapenda nini
 
mie nilimuuliza GF wangu kwanin alinichagua... akanijibu.."nimependa tu jinsi ulivyo" tena alijibu kwa kiingerza.. akasema.. "i like the way u are".. yaani mimi
 
Hv wanawake huwa wanavutiwa na nn kwa manaume!!! Pesa ama Mapenzi ya kabla ya kuingia kwene ndoa!!!! Nasema hv cuz ukiangalia wengi waume zao wakichuja wanaanza ile..kutafuta wakuhudumia
Wanapenda ngawila tu hakuna kitu kingine!
 
wanapenda pesa pamoja na hicho mnachoita rungu kwa kuanzia lkn bdae wanazoea na unakuta mapenzi ya mazoea tu.
 
Hv wanawake huwa wanavutiwa na nn kwa manaume!!! Pesa ama Mapenzi ya kabla ya kuingia kwene ndoa!!!! Nasema hv cuz ukiangalia wengi waume zao wakichuja wanaanza ile..kutafuta wakuhudumia

Mwanamke ameumbwa very strong kuliko mwanaume.. tatizo kubwa hajiamini.. Atataka usalama kwa mwanaume kwa njia yeyote ile .. vitu kama hela, maneno matamu, upedeshee etc.. Vyote ni mazao ya kutojiamini!!!
 
Kuna kitu humu ndani nachukia sana. Hivi ukikutana na hao majambazi wasiotumia silaha mnafikiri ni wote? kwa wanaojua mapenzi vizuri wanawake huwa wanapenda tu the way ulivyo siyo pesa wala yale uliyonayo. Ila ujinga na upumbavu wa wanaume na kutojiamini basi wakati wanakuja kwako wanakuja na mbwembwef za kutoa pesa na magari (mitama kwa watoto) but hakuna mwanamke unaweza mtongoza akakuuliza eti what do you have.

Kalaghabhaho mie ngoja nilale nisuibiri zangu daku! l
 
mie nilimuuliza GF wangu kwanin alinichagua... akanijibu.."nimependa tu jinsi ulivyo" tena alijibu kwa kiingerza.. akasema.. "i like the way u are".. yaani mimi
Results
ha haaa haa.............siwezi kumsemea moyo ila unahibiwa mkuu
 
We are living in a material world. With abundant/ample resourse you find yourself with numerous and unlimited options. As you are all aware life becomes boring when options are limited, so women are right to fall for resourceful partners,whether it be men or their fellow women.
 
Chakwanza ni namna yeye mwenyewe atakavyoridhika na wewe yeye atakuachia tu mzigo,
ila kwa hali ya maisha ya sasa pesa mara nyingi haikwepeki kutumika hasa ktk matumiz madogdogo muwapo pamoja,
ila wanawake wachunaj huonekan tu kam we n greatthinker na hapo kataa haraka na upige chini zaid utakuw unajiandalia vilio mbelen kwa kuwa atakuw anakutumia kukamilish shid zake
 
mwanamke anapenda mwanaume ambaye atajisikia secured,mahaba ya dhati, na mwanaume anayejua umuhimu wa mwanamke..... financially stable ni kigezo cha nyongeza coz hapo atakuwa na uhakika zaidi wa kujenga familia bora na uhakika wa mkono kinywani kwa watoto
 
Back
Top Bottom