Mwanamke anaezusha ushatoka nae humaanisha nini?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Salaam,

Kuna mwanamke hapa mtaani anazusha nshatoka nae akati sina mazoea nae zaidi ya salamu, je atakua anamaanisha nini wakuu?
 
Hutu tu vijana twa siku hizi tunatovaa suruali za kubana na kutumia vipodozi vya dada zao ni tupumbavu tena tushenzi kabisa na hatuna maana, sasa haka kanauliza ina maana kanashindwa tu kujiongeza, ipo siku katakuha kulalamika hapa kwamba huyo dada amekatalia chumbani kwake anatishia kukabaka
 
Tafuta hiyo mwanamke weka ndani oa...

....Au nenda kamshtaki kwa balozi wa nyumba 10 au mwenyekiti wa mtaa kwamba anakupa shambulio la aibu na unyanyasaji wa kijinsia mtaani!
tayari nina mke, pia kushtaki ni utoto.
 
Hutu tu vijana twa siku hizi tunatovaa suruali za kubana na kutumia vipodozi vya dada zao ni tupumbavu tena tushenzi kabisa na hatuna maana, sasa haka kanauliza ina maana kanashindwa tu kujiongeza, ipo siku katakuha kulalamika hapa kwamba huyo dada amekatalia chumbani kwake anatishia kukabaka
mkuu we ni comedian?
 
Swali la kitoto Sana hili,

Ni sawa na kusema mwanamke anang'ata kucha mbele yangu, anamaanisha Nini
mkuu nimeuliza coz nimeshangazwa na jambo hili, mi najua tabia hizi huwa kwa wavulana wanaotaka sifa za kijinga bt sikuwahi kujua kama na ke pia wana hizi mambo.
 
Mwanamke ndiye shahidi wa mwisho kwenye mahusiano akisema yy kwmb nmetoka na mtu flan hakuna wa kupinga....
Jiongeze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom