Kwa kumtoa outings za nguvu, zawadi pia muhimu sana kuanzia ndogo ndogo mpaka kubwa kubwa, akikwambia najisikia nimechoka leo basi unamfanyia total body massage bab kubwa ali mradi kumfanya atake kuwa nawe saa zote na kama hayuko nawe anakumissije?
kwani watu mnavyosikia kudekeza mnaelewaje? maana wanaume wanavyokataa ooh 'sidekezi mtu mimi'! unajuaje kuwa hata hayo unayomfanyia ndo kudekeza kwenyewe???
tena its a good thing na itaongeza upendo kati yenu
kama mmeenda out waweza kumuomba pochi yake umsaidie kubeba
kudekeza means umfanyie vitu vidogo vidogo lakini vyenye maana kubwa kwa ulimwengu wa wapendanao