Ni ukweli kabisa ndio maana sasa hv Mwanaume akiwekeza kwa mwaananamke jamii inamdharau!!Kuna upendo wa dhati tena siku hizi?
Wengi wameshageuka nilipe nisepe tu.
Mapenzi yalikuwa na enzi zake.
Ingawa nakiri kuna baadhi yao bado wana mapenzi ya kweli ila ni wachache sana.
Anayeanzia kukupendea kitandani huyo ni MALAYA wa ngono tu,hamna definition nyingine.Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.
Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.
Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.
KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.
Mawazo ya vijana 20-30, mwanamke kwao ni ngono tu . Kuanza nae uhusiano ili wafanye ngono, wanafunga ndoa sababu ni ngono n.k ndoa zitadumu vipi sasa,?Anayeanzia kukupendea kitandani huyo ni MALAYA wa ngono tu,hamna definition nyingine.
Sure.Nilichokuja kugundua ni kwamba kuna tofauti kubwa sana kwa kijana kabla hajaoa na akiwa ameoa in terms of mindset. Familia huja na majukumu mengi sana ambayo huitaji uongozi,busara,na maarifa hvyo huwezi kumkuta mtu mwenye majukumu anawaza ngono muda wote.Mawazo ya vijana 20-30, mwanamke kwao ni ngono tu . Kuanza nae uhusiano ili wafanye ngono, wanafunga ndoa sababu ni ngono n.k ndoa zitadumu vipi sasa,?
Ada, kodi, chakula, mavazi, usafiri, Afya, ulinzi. Hivi vyote ni vya mwanaume unatakiwa uhakikishe familia yako inapata. Ngono ni sehemu tu ya ndoa ila mambo yapo ni mengi sana mkuu.Sure.Nilichokuja kugundua ni kwamba kuna tofauti kubwa sana kwa kijana kabla hajaoa na akiwa ameoa in terms of mindset. Familia huja na majukumu mengi sana ambayo huitaji uongozi,busara,na maarifa hvyo huwezi kumkuta mtu mwenye majukumu anawaza ngono muda wote.
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.
Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.
Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.
KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.