Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
Kawaida wanaokufa ni wanaume kwa kuzidiwa na BP baada ya excitement kuongezeka sana.Mwanamke mmoja ambae jina lake halikufahamika mapema amekutwa amefariki dunia leo hii katika baa /guest inayofahamika kwa jina la Musoma guest haouse .
Mwanake huyo aliengia jana usiku akiwa na mwanaume wake ambae amekimbia baada ya tukio kutokea ,hajafahamika mpaka sasa na juhudi za kumtafuta zinaendelea.
polisi walikuja kuchukua mwili wa marehemu na kuondoka na kwenda nao kituo cha hospital kwa uchunguzi zaidi.
Tukio hilo lililoacha taharuki limetokea wilaya ya Temeke maeneo ya Maguruwe karibu na Tandika maghorofani.
Kawaida wanaokufa ni wanaume kwa kuzidiwa na BP baada ya excitement kuongezeka sana.
Wengine wanakula Viagra inayowaongezea mapigo maradufu, hivyo kurupture mishipa na kuishia kifo.
Sasa huyu bibie imekuwaje?

Mambo ya kawaida, tusitegemee watu kufia hospitalini tu. Wengine wanakufa hata barabarani wanapotembea. Chamsingi ni kuwaombea na kuwapa pole wafiwa. Polisi watachunguza na kutoa jibu chanzo cha kifo hicho.

Wangeingia hapa wasingekufa pengine