PM muende mliokuwa serious.....
ila mkuu mwanamke aliyeumizwa anaweza kuwa anataka kufanya malipizi ohoooo akaja kwako akakupa za uso ukajuta aisee... bora ambaye ajaumizwa yeye anaumizaga ukiona dalili tu we muumize basi.................... ila kwa hiyo age lazima upate wa kutulia naye ila asikuzidi sana kipato
sawa mkuu utafanikiwa ila ukiona wanazengua achana na mapenzi tuNina mtazamo tofauti, naamini aliyeumizwa atatulia na kuthamini upendo zaid ya yule ambaye hajawahi kuumizwa. Asnte pia kwa ushauri na kunitia moyo.
Hahahaaa....dadavua kidogo hapoanayejua uchungu WA kusaritiwa.
Hahaaa, mbona tunashauriwa kupendanasawa mkuu utafanikiwa ila ukiona wanazengua achana na mapenzi tu
si lazima kimapenzi aisee.. unaweza kupenda kiagape agape tuHahaaa, mbona tunashauriwa kupendana
Namaanisha u are heartlessUnamaanisha nini Angel Msoffe
MWENZIO ANATAKA MUPENZIsi lazima kimapenzi aisee.. unaweza kupenda kiagape agape tu
haya atampata tuMWENZIO ANATAKA MUPENZI
Upo single,????PM muende mliokuwa serious.....