Tujitahidi kupunguza rate kwani hamna mtu anapenda kuwa single mom basi tu hutokea[emoji22] ,so kama unaweza jitahidi tusizidi kuongeza idadi ,kama vipi oa kabisa uwe na wake 2... halali . ukiwa tayari kuoa kbs wa pili ,mke nipo hapa(joke)[emoji3]

Labda Kama baadhi wataamua kutokuwa na watoto kabisa maishani mwao.
Ratio ya 1:1 haipo na haiji kutokea kwa nchi nyingi. Haya mambo hata kwa walizotuletea dini yamewashinda. Ndio maana wameamua kurahisisha talaka. Mnaachana kila mtu anakuwa na mwingine mmoja tu. Lakini katoka kwa mwingine.
Kwenye tangazo nimesema akiamua kuwa mke wa pili haina shida.
Ila akiamua kuwa free ubaba wangu kwa mtoto hautapungua.