Mapigo Saba
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 129
- 28
Dear Members happy new year!
Kwa mara nyingine napenda kuleta kwenu ombi langu la kutafuta mwanamke aliye-serious tu kuolewa.
Napenda awe Mwalimu au Nurse lakini si lazima.
Mimi nina umri wa miaka 28 nafanya kazi kanda ya ziwa so aliyetayari namkaribisha sana.
Kwa mwanamke yeyote aliye tayari ani-PM.
Note: Jukwaa hili ningependa litumike vizuri kwa manufaa chanya ili hadhi yake iendelee kuwepo vizazi kwa vizazi.

Dini yoyote ingawa mimi ni mkristu, asiwe mnene sana, urefu size ya kati tu.Weka vigezo...awe na madako au flat screen, rangi, urefu, dini, awe na mtoto au hana.
Additional...GPA? mwanya, matege....n.k
all the best mkuu,
watakuja mkuu subili tu hapa hapa
All the best
nakutakia kila lililo jema katika hili. Ukimpata anaekufaa utuletee mrejesho pia
Try ur best,it can be done!
Ufanikiwe usakaji wako
All the best.
Weka vigezo...awe na madako au flat screen, rangi, urefu, dini, awe na mtoto au hana.
Additional...GPA? mwanya, matege....n.k