profeas mbiti
Member
- Jul 28, 2011
- 39
- 2
Natafuta mwanamke aliyetayali kuolewa na awe na vigezo vifuatavyo: 1.Elimu kidato cha nne na kuendelea,2.Mwenye hofu ya Mungu,3.Umri miaka 25-30,4.awe ameajiliwa au mjasiliamali shwari tu, 5.Rangi maji ya kunde,6.Awe na dhamila ya dhati katika mapenzi na ndoa. Mimi sifa zangu ni kama ifuatavyo: 1. Elimu graduate mwajiliwa,2.Dini mkriso,.Urefu 172cm, 3.Nina umbo la wastan,4.Umri miaka 30 ninaishi mkoani kilimanjaro!aliye tayali ani PM.