Mwanamke aliyeitawala nyumba

huyo jamaa ni muoga sana, inatakiwa abihevu as a man
 
Kama wameamua kupendana kwa stail hiyo wacha waendelee, sabab kupendana kupo kwa stail nyingi pengine noa hii ndio staili yao
 
Huyo jamaa yako ndio wewe kumbe aisee...Pole sana...Ondoka hapo hamna maisha..yaani unatawaliwa na KE??
 
Yeye kabla yakuja kuomba ushauli alikuwa na majibu yake mwambie achague moja ya majibu yalio kichwani mwake maana kumshauli mtu kwenye mausiano ni kujitengenezea kitanzi mwenyewe
 
Mkuu mke kabila gani? Kama myakyusa mwambie avumilie hamna namna
 
mwanamke anaanza vipi kukutawala kiasi hicho? tumia uanaume wako aisee hama kwenye mapenzi tumia hata ubabe kidogo tu kulinda status yako ya kiume, hataki badilika mwache aende kabla tabia haijamea mizizi utajuuta wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…