sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,893
- 47,748
Naona umemjibu ndugu msimuliaji...!Mbona kama unapenda kutawaliwa ila ni vile marafiki zako wanakuingilia ktk maisha yako binafsi na mpenzi wako!!
Wewe kama unaridhika na kutawaliwa basi ni heri tu muendelee kuishi.
Kuhusu kukufaa wewe ndio unajua kama anakufaa au la,na kama haujui basi muda wako wa kuoa na kuitwa mume bado.