Naona umemjibu ndugu msimuliaji...!Mbona kama unapenda kutawaliwa ila ni vile marafiki zako wanakuingilia ktk maisha yako binafsi na mpenzi wako!!
Wewe kama unaridhika na kutawaliwa basi ni heri tu muendelee kuishi.
Kuhusu kukufaa wewe ndio unajua kama anakufaa au la,na kama haujui basi muda wako wa kuoa na kuitwa mume bado.
Hahahaaa! Habari kaka shemeji.Naona umemjibu ndugu msimuliaji...!
Weee acha shemu ..hili tukio sio LA kusimuliwa daaaaahhhhh yaaan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji umejiongeza eti!!
Zamani mwanamke ndio anaomba ushauri lakini mambo yamebadilikaUpo vzr kamanda
Sure mkuuZamani mwanamke ndio anaomba ushauri lakini mambo yamebadilika