Mwanamke akilalamika namuacha

Mwanamke akilalamika namuacha

Secret person

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
334
Reaction score
795
Habari wakuu.

Sijajua changamoto iko wapi? Mwanamke akianza kulalamika kuhusu mahusiano baina yangu na yeye hapo ndipo unakuwa mwisho wake. Siwezi kuvumilia malalamiko wala aina yoyote ya makelele.

Sijajua lini nitabadilika wakuu.

Nashindwa kuwa kwenye seriously Relationship.

1646051736127.png

Inavyoelekea kwasasa wewe shida yako sio mahusiano, tafuta kwanza vitu vyengine ambavyo unaamini ndio furaha yako ukivipata ndio utaona umuhimu wa mahusiano alafu wewe ndio utakua bingwa wa kulalamika na utawaelewa kwnini walikua wanakulalamikia
 
Asante Kwa ushauri ntakufanyia kazi
 
Utawaacha sana tu na bado wanazidi kuzaliwa tena ni warembo haswa kuliko wa jana.

NB:

Ke wapo zaidi ya B 5 duniani wote wanakusubiri uwe nao kimahusiano na kuwaacha mara kwa mara.
 
Ila hata mimi sipendi mtu anilalamikie mara siku hizi umebadilika, mara haunipendi kama zamani mara siku hizi nini, mara sijui nini na hapo unakuta mimi naona nipo sawa sijabadilika.
 
Mkuu China wameanza kutengeneza watu bandia nikuagizie maana kwa maoni yako tu hawa viumbe umechemka sana
 
Habari wakuu.

Sijajua changamoto iko wapi? Mwanamke akianza kulalamika kuhusu mahusiano baina yangu na yeye hapo ndipo unakuwa mwisho wake. Siwezi kuvumilia malalamiko wala aina yoyote ya makelele.

Sijajua lini nitabadilika wakuu.

Nashindwa kuwa kwenye seriously Relationship.

Ukioa utabadirika
 
Ila hata mimi sipendi mtu anilalamikie mara siku hizi umebadilika, mara haunipendi kama zamani mara siku hizi nini, mara sijui nini na hapo unakuta mimi naona nipo sawa sijabadilika.
Mi sipendi mtu aniambie "nalalamika" wakati minaona niko kawaid,au namuuliza tu vitu vya kawaida
 
Uko sahihi..Kuna kiumbe fulani niko naye..mkikaa kwenye amani lazima atafute issue ili akulalamikie..yaani akuonyeshe upo kwenye makosa...Nafikiri ana tatizo la kutojiamini..

Nimeamini lile kabila, eti usipompiga anajua hapendwi..Huyu naye asipoleta timbwili anakuwa hajiamini kama yupo pekee yake....yuko insecure sana
 
Back
Top Bottom