Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
๐น๐น๐น Kumbe uwa unahongaUjue nini, mi nikihonga mwanamke hujihakikishia mambo mawili muhimu: uhuru wa penzi pamoja na mpenzi husika, kuwa sasa yupo kwenye himaya yangu kikamilifu na karidhia.
pia saikolojia yangu huiimarisha vizuri siha yangu na kuwa kama simba dume na kwa kujiamini.
Lakini bure bure mama hata siwezi mie, nitajiona dhaifu na dhalili sana.
Haya, mmetoka kwa mtindo wa 'free lunch' si ndiyo, ikitokea shida kidogo tu inayohitaji kutanzuliwa kwa pesa ndipo hapo mwanaume hugeuka kalunguyeye namna afanyavyo akiguswa๐๐๐ni nywiiii kichwa ndani kule.
Hata mood ya mnara kusoma kwa kunyooka itakuwepo kweli!
Si wanasema huwezi kula pipi na maganda yake.Noma kweli yan, harakat za ujana zima mambo meengi sana . Mi nashangaa sana mtu ambaye anajiamini kula kavu mtu asiyemjua
Duuh polee yake sana, muache kingono, sio urafiki.Baada ya hapa akaniambia "Umeshajua hali yangu najua utaniacha tu".
Sasa wakuu, hata nikimuacha kosa langu liko wapi?[emoji2375]
View attachment 3270068
Inahitaji utulivu na moyo sana ๐๐๐๐๐๐
Jirani ๐น๐นAcha kabisa mi juzi nimeuza mechi baada ya muda mrefu sana, soon tunaenda kupima.
Kashakula sasa anapima nini? Mafua? ๐น๐นPima kula kitu nyama Kwa nyama
Kasema kauza game Moja tuKashakula sasa anapima nini? Mafua? ๐น๐น
Tusitishane mkuuUSAID ishafungwa remember
She is a keeper. Mie mwanamke wa namna hiyo ndio napenda ata mie nitampa ruhusa ya kucheki wanaume wenye siz pack na walamba lipsJuzi kati nilikutana na pisi, nikawa na itongoza ni barabarani wakati huo tukapishana na mdada kafungasha nikapiga jicho wakati nageuka sijakawa sawa nasikia huyu pisi ananiambia angalia tu? Baba fahari ya macho haifilisi duka
Washkaji kama nyie jau sana kwahyo ukashindwa kushtua wana .Kuna binti naishi naye nyumba ya kupanga ana miaka kama 21 hivi karembo sana ila ameungua japo tunaojua ni wachache tu cha kusikitisha waume za watu na balehe wanamtafuna sana sasa sijui hatma Yao ikoje.
Kama unampnda mwambie atumie ARV viral load inakua ndogo hakuambukizi halafu tumia condomBaada ya hapa akaniambia "Umeshajua hali yangu najua utaniacha tu".
Sasa wakuu, hata nikimuacha kosa langu liko wapi?[emoji2375]
View attachment 3270068
Kwani ngoma unapata mara mbili? ๐นKasema kauza game Moja tu
Kama saa 72 hazijaisha anaweza Fanya jamboKwani ngoma unapata mara mbili? ๐น
Keisha habari yake, inaonekana alinogewa aliunga vi3 ๐น๐น๐นKama saa 72 hazijaisha anaweza Fanya jambo
Na akikukataa ila anatamani uwepo usilazimishe mambo. Wapo wanawake wenye huruma nasi na hawataki kutupotezs rafiki zaoMwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
Wanandoa hasa wakichepukaNoma kweli yan, harakat za ujana zima mambo meengi sana . Mi nashangaa sana mtu ambaye anajiamini kula kavu mtu asiyemjua
baki njia kuu itakusaiadia sana ๐Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.