Mwanamke akikupenda...

Mwanamke akikupenda...

Usipime BOSS! tabasamu lake si la kawaida watu wanaweza kudhani una uchizi kwa kutabasamu pekee yako kumbe you're in love! 🙂🙂🙂



mwanamke akikupenda kweli na wewe kama unampenda
hata kama nchi ina vita, we utakuwa kutwa unatabasamu tu lol
 
Last edited by a moderator:
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?</span></font></font>
<br />
<br />
Hello Prt! Siyo wote wanakuwa hivyo! Ni baadhi ya Wanaume tu!
 
Hivi inakuwaje unampenda mtu mpaka unatamani mkaishi porini huko, watu wasiwaone, hakuna kuibiana penzi, just me and him
Mkaishi kama kwenye location yangu kule, hakuna wa kuwagusa, kila kitu ni kwa ajili yenu tu
 
BAK, hebu tafadhali nishushie lyrics za 'strength of a woman' na 'when a woman is fed up', za zamani bt nadhani was shaggy boy!
unajua hata mi nashangaa where the heck do i get all the energy to love and serve a man diligently,lol! :A S kiss:
ila akikukorofisha, hata kumtabasamia unaskia exhausting!:A S-omg::boom:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya Mkuu ombi lako litashughulikiwa haraka iwezekanavyo 🙂🙂🙂....Shurti uweke ndita tena za kutisha LOL!


BAK, hebu tafadhali nishushie lyrics za 'strength of a woman' na 'when a woman is fed up', za zamani bt nadhani was shaggy boy!
unajua hata mi nashangaa where the heck do i get all the energy to love and serve a man diligently,lol! :A S kiss:
ila akikukorofisha, hata kumtabasamia unaskia exhausting!:A S-omg::boom:
 
<br /hapo unataka kuvizia penzi la wa2 te te te.porini wanyama hawana akili kama za binadamu
<br />
Location yangu ni porini pia tena kisiwani mkuu, nitawapisha tu,mi nitaondoka na meli walokuja nayo
 
Love rollercoaster: Kuna wanawake wengine wakipenda basi wanapenda sana ila ukiamua kuwapenda zaidi ya wanavyokupenda wanakugeuzia kibao na unakuwa msukule wa mapenzi (source: Mbu JF).

Warning: ogopa mwanamke mwenye mapenzi sana, kwani akizuzuliwa na akapenda nje ya ndoa yako basi hapo ndo utajua kwanini kikwete anaitwa rais!

Nimemaliza
 
Back
Top Bottom