Mwanamke akikupenda haoni tabu kukuacha, msaada tafadhali

Mwanamke akikupenda haoni tabu kukuacha, msaada tafadhali

Ahahahahahaha...mie nacheka na vibamia...ahahahaha. Hivi ukiwa na jihogo la jangombe vibuti hutokaa uvisikie milele....ahahaha...kama ni hivyo mie naenda kuchanjia dodoki....nishachoka na vibuti kumbe kisa kibamiachangu.

Nipewe ushuhuda toka kwa kina mama...je vibuti ni kwa vibamia tuu au na jangombe nao vinawahusu?
 
Usimuumize mpenzi uliyenaye sasa, hana hatia. Hapo hakuna ushauri ni kusonga mbele na wako wa sasa na maisha yaendelee.
 
Kuwa mkimya tuu usihusike na kitu chochote. Mwambie hayo aongee na mpenziwe aliyeko naye, baadhi ya wanawake bwana anakutafutia attention yako iko wapi hana jipya huyo furahia penzi lako jipya.
 
1Mpe ushauri koz hiyo ni need ya muhimu sana kwake kwa kipndi hiki..? 2 kwani wataka uurudie mchezo koz kama ndo hivo utaishia kuchezewa kwa kutokuwa na maamuzi swadakta..! Let go kwa wanchukucha but ushauri mpe tuu
 
Abdulazizmomba

Mimi ilishawahi kunitokea na tukakaa mda mrefu bila mawasiliano kama miezi mitatu nashangaa kuna akanipigiaa niliishiwa pozi ooooh Mara uko wap ck hizi ooooooh Mara mbon kmy oooooh Mara yupo tyr kuja kunion sehm yyot nilipo TZ hii akanisumbuaa kweli mwisho wa siku nikamblock maan alikuwa ananipa kichefuchefu hawana hana lolote huyo arudi kwa Malaya wake mwambie umegonga mwamba upo n penz jipy motomoto kabisa
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu, poleni na mihangaiko,

Story iko hivi, hivi kuna binti ambaye tulikua katika mahusiano kama miezi kumi iliyopita i mean tulianzana mwezi wa nne na baada ya muda kwenda mpaka mwezi wa kwanza, ambapo apa ndo binti alianza kuniletea mapichapicha mara tuachane oh! Mara ananambia me player mh! nakumbuka mwezi wa pili mwanzoni akanambia tuachane na ana mtu mwingine.

Sikuona soo nitakamjibu poa maana ilikua ni wimbo kwake na nikakata mawasiliano nae kila mtandao hadi kwenye social networks baada ya kimya kirefu kama miezi mitatu mbele akanipgia simu na kuanza kujiombesha msamaha mara turudiane eti alikua anafanya vile ila alikua amaanishi, daah alafu me now nishapata binti mwingine.

Mbali na hiyo now amekua akinsumbua sana kuwa ana matatizo na wazazi wake na ananiomba ushauri sana jinsi gani ya kumsaidia aweze kuelewana na wazazi wake si swala hilo tu na matatizo mengine kemkem yanayomface.

Hapa ndo npo njia panda

Hayatuhusu. This is your private business. Tumechoka kusoma upuuzi.
 
Endelea kung'ang'ania matatizo, shauri yako.....
 
Ahahahahahaha...mie nacheka na vibamia...ahahahaha. Hivi ukiwa na jihogo la jangombe vibuti hutokaa uvisikie milele....ahahaha...kama ni hivyo mie naenda kuchanjia dodoki....nishachoka na vibuti kumbe kisa kibamiachangu.

Nipewe ushuhuda toka kwa kina mama...je vibuti ni kwa vibamia tuu au na jangombe nao vinawahusu?

Hata ukiwa nalijang'ombe kama huwezi kulitumia kibuti kinahusika kama kawa
 
Back
Top Bottom