Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Wakuu wanaume wenzangu,
Nimeona wanaume wengi sana wake zetu wakitukera sana basi tunaishia kuwapa kichapo na hata kuachana nao. Hii ni misuse of resources kwa kiwango kikubwa sana.
Yaani tunashindwa kuishi nao kwa akili. Hii ni Failure kubwa sana kwetu Wanaume.
Mwanamke akikukera sana, usimpige, wala usimuache, especially kama mna watoto. Mfanye awe House girl wako akutunzie wanao.
Nakaribisha Maoni kutoka pande zote, kiumeni na Kikeni