God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Katika matukio mengi ya mafumanizi wanaume ndio wanaopewa adhabu kali ikiwapo kupigwa mawe, kufanyiwa vitendo vya kifirauno na mambo mengine ya kikatili. Sasa nauliza kama mkeo umemfuma akizini na mwanaume mwingine, kwanini usimuadhibu huyo mwanamke na badala yake unamuadhibu/unamalizia hasira kwa huyo mwanaume mwenzio? Unazani huyo mkeo hakupanga kukusaliti? Nyie wenyewe ni mashahidi mwanamke kama hataki hataki tu, mmetongoza mara kibao na hadi munaingia uzeeni hampewi mwanamke akisema no na kweli hupati kitu.
Sasa kama kweli kwa nia yake kaamua kumpa penzi mwanaume wa nje hapo alikua na ridhaa na alikua tayari kabisa kukusaliti. Sasa wewe mwanaume kama una utashi kwanini usimalizie hasira kwa huyo mkeo? Muwe mnatumia akili na sio kuwaadhibu wanaume wenzenu wasiokua na hatia, unakuta mwanaume kadanganywa na mwanamke kwamba huyo mwanamke yuko singo au ameacha jamaa ana relax mwisho wa siku dunia haina siri anafumaniwa.
Wanawake ni waongo sana na nyie wanaume muwe na jicho la tatu sio kukurupuka tuu. Kama mwanamke alikuwa hataki kufanya mapenzi na huyo mwanaume wa nje angekuambia tu kuna mtu ananisumbua.
NARUDIA TENA KWA HERUFI KUBWA;
MKIWAFUMA WAKE ZENU MUWAADHIBU WAO KWANI NDIO WENYE MAKOSA. HATA MWANAMKE UKIMFUMA MUMEO NA MWANAMKE MWINGINE MUADHIBU HUYO MUMEO KWANI NDIO MWENYE MAKOSA. WALLAH NIKIOA HUYO MWANAMKE AME CHEAT TU ILA NISIJUE MAANA NIKIJUA NITAMCHOMA MOTO AU NIMFANYE MAITI KABISA NDIPO ROHO YANGU ITULIE.
kwani huyo mwanaume anaepigwa mawe ni mali yako?Na kwa nini umuadhibu kwani ni Mali yako? Wewe ni nani Dunia hii mpaka uone una haki ya kumuadhibu binadamu mwingine?
kunguru hafugwi wewe, anaweza kuwa mwanamke au mwanaume hata umpe nini lazima akusaliti so watu kama hao ni kuwatia petrolo tuu au acid na kuridhika moyoniKaa chini tafakari,pengine wewe ndio chanzo cha yote hayo.Kisha fanya maamuzi kwa mustakabali wenu nyote.
mimi swali langu ni kwa nini kwenye mafumanizi wanaume wanapigwa tuu?? hao wanawake kwanini wasipigwe wakati nao wametenda usaliti?wewe hujawai ku cheat?
adhabu ya nini? mwache aende zake.
Sio kila anayeruka majoka nje hana mapenzi kwa mwenza wake... Sababu zipo nyingi ikiwemo hulka tu ya kupenda mchezo mtamu.Ukimfumania mkeo au mpenzi ni jambo lenye mshituko na linaleta hasira. Lakini ni udhibitisho ya kuwa mkwe au mpenzi hana mapenzi nawewe na mnaishi ya uongo, usingojee kuja kupandikizwa mtoto asiye wako. Jambo la busara ni kumwacha papo hapo ulipomfumania na kumshushia mzigo huyo anayezini naye, ndiyo dawa nzuri. Kipigo ni hasira na hazina faida na pia zinakufanya weak. Na hili ni kwa mke na mume kwani hata mume hufumaniwa.
mimi swali langu ni kwa nini kwenye mafumanizi wanaume wanapigwa tuu?? hao wanawake kwanini wasipigwe wakati nao wametenda usaliti?
[emoji4]mimi nikimfumania Mke wangu/mpenzi wangu waaala hata siendi kuomba ushauri mahali popote ni kumpiga chini tu fasta