Mwanamke akichepuka usimsamehe

Mwanamke akichepuka usimsamehe

Sisi tunapenda,upendo ule upendo....Yaan upendo mkuu
 
Kwamba Anachepuka ku upgrade??. Hii Iko 50-50.

Kwann Wee ni Boss mahali Fulani Alafu Mkeo analiwa na Boda au Dreva wako au??

"Wanawake Kila Siku wanafukuzana na kile kitu ambacho Hawana kwenye Maisha Yao ." .

Lkn pia kuchepuka kwao ni matokeo ya Jamaa anayechepuka naye.( Uwezo wa kumshawishi mwanamke hata kama uko na value ndogo.


Kwann asiache?? Ikitokea kachepuka na kukutana na Mwanaume Bora kabisa HASAHASA KITANDANI, NARUDIA, HASAHASA KITANDANI ,basi haijalishi huyo mwanaume uchumi wake ukoje, Mwanamke atanata.( Mwanamke anakua High Kihisia na mchepuko wake)


Akikuta, Mambo ni ovyo kuliko Mumewe, basi atakupotezea wewe MCHEPUKO na kutulia na mme wake.( Anakua Low Kihisia na mchepuko )

Hawa viumbe, Maisha Yao yanaongozwa na "HISIA".
 
Mkuu upo sahihi kwa asilimia zote, binafsi yalishanikuta na nilipiga chini now ni miaka miwili na sina mpango tena kwa karibu hii kuishi na hao viumbe kwa style ya mke na mume wa ndoa.
Namwanaume
 
Unaruhusiwa kumuacha , mnapojifanya ving'ang'anizi ndo mana mnaishia kuwaua au kujiua , ukimfumania kama Una Moyo mdogo mwache kabisa, piga chini , kuhusu watoto hata Sisi wengine tumelelewa online tangu tukiwa na miaka 3 up to date
[emoji28][emoji28][emoji28] online tena[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom