Mwanamke akianza kukusaliti usipambane

Mwanamke akianza kukusaliti usipambane

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,074
Habari za weekend leo nimeona nishare nanyi hii kitu kuna nyakati unakuta mke wako au mpenzi wako anaanza kubadilika visa haviishi ukimtafuta kuyaongea yeye anakumbushia makosa ya nyuma sms zako hajibu au anajibu kwa kujisikia simu hapokei na kwa bahati mbaya hata tunda hataki kukupa

Sasa hapa wanaume wengi wanachokosea huanza kumuomba mwanamke msamaha kosa lenyewe halieleweki au ni la muda mrefu unatuma sma kibao mwenzio hajibu au anajibu kwa kifupi simu hapokei kabisa au akipokea na malalaniko tu my friend USIPAMBANE yaani muda kama huo unapaswa ukae pembeni kwani kadri unapambana ndio mwenzio anakuona mjinga na hujitambui na ndio unazidi kuonesha udhaifu wako na hutompata kamwe

We kaa pembeni tena kaa kimya tafuta pesa zako fanya miradi yako hakikisha unapambana vilivyo hakikisha unabadilika sana yaani hata simu mavazi nguo gari nunua mpya yaani wewe usiwaze piga project zako jifanye kama huelewi kinachoendelea nenda sehemu nzuri nzuri chukua pisi kali weka pembeni piga dinner moja matata na mapicha mapicha we unarusha tu whatsapp status huku ukiweka maneno yaliyojaa hekima na faraja

Nakuhakikishia atakutafuta kwanza yeye mwenyewe anajua wazi kabisa kwa hukumkosea alikuacha kwa hila zake tu pili kipindi kaanza visa wewe ulikaa kimya tatu anapata hasira kuona mwanaume alimpenda mwanzo yupo na kimada mwingine anakula chakula ambacho kalima yeye

Sasa kwa wale wenzangu na mimi wazee wa kubembeleza wewe endelea tu kubembeleza tuma sms kibao piga simu sana mistress kibao kazi zako ufanyi pesa hamna ndio BYE BYE HIYO

THINK TWICE WE LIVE ONCE MAISHA YENYEWE MAFUPI
 
Mambo ya kuweka status tena!! Hii mipango tunaendaga nayo kimya kimya na sio lazima kila siku ushinde wewe, timu pinzani ikikuzidi mipango napo unatulia tu.
 
Mambo ya kuweka status tena!! Hii mipango tunaendaga nayo kimya kimya na sio lazima kila siku ushinde wewe, timu pinzani ikikuzidi mipango napo unatulia tu.
As i say we fanya mambo yko ila km unaweka status kwa show off inaweza kukurudia maana na yy uko alipornda anafanya nn yawezekane ni kimada wa wazir
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom