DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,977
- 30,850
kuchinjwa na nan mkuuanataka kuchinjwa huyo..!
kuchinjwa na nan mkuuanataka kuchinjwa huyo..!
Ila hawajashindwa kutuzaaa.Wanawake ni watu wa kushindwa tu!!
Na PAKA ataondoka.Hatokaa milele Rwanda, haya mambo yana mwishoHuyo ni mtu mdogo Sana kwa PAKA wala hana time naye. Mwenye nguvu alikua baba yake mzee Assinapol Rwigara.
Naye alianza chokochoko kwa Kagame lkn mwisho wake umeonekana.
Baba Bashite ndo nani? mbona una mawazo ya umbea umbea tu? We chapa kazi. Hacha umbeaYuko wapi? ,baba bashite alisema yuko india kwa matibabu 14 day sasa ni miezi 3
BRING BACK kinana and Benn
Swissme
Baba Bashite ndo nani? mbona una mawazo ya umbea umbea tu? We chapa kazi. Hacha umbea
PhD yako ni ya nini? ya maji?Mmbea ni wewe unaeongozwa na phd hewa
Swissme
Kama hiyo tu umeona nzuri je ukikutana na zile ambazo hana hata kipande cha nguo?zipo mitandaoni huko zimevujakapicha kazuri
Nchi ya kwanza kutembelewa baada ya kupata uraisi ni Rwanda yenye sifa za juu za udikteta, kutesa, kuua raia wasio na hatia.