Mwanamke ajitokeza kuwania urais nchini Rwanda

Mwanamke ajitokeza kuwania urais nchini Rwanda

Nchi ya kwanza kutembelewa baada ya kupata uraisi ni Rwanda yenye sifa za juu za udikteta, kutesa, kuua raia wasio na hatia.
 
ni kweli.unaweza kuamini Rwanda kuna uaminifu uliopitiliza?unasahau simu mezani pale mgahawani ulipokua unakula,unapotoka,mhudumu anasafisha meza anawasevia watu wengine kama haioni simu yako,na ukirudi unaikuta pale pale ulipoacha.na ajabu lingine,hakuna shoga wala mwizi.wananchi wamenyooka sana.Ukilizua,jiandae.unaambiwa watekaji wanakuambia uwapigie simu ndugu zako una safari na ndio nitolee.huonekani tena.
 
Diane-Rwigara-umukobwa-wumunyemari-Assinapol-Rwigara-witabye-Imana-muri-2015.jpg
 
Kwani wananchi kumtaka aendelee kugombea maana yake ni kwamba hakuna anayempinga? Mass kubwa ya Wanyarwanda wanamuhitaji Kagame lkn hilo halimaanishi kwamba hakuna wasiomkubali...!!

Acha kudanganya watu
 
Yeyoye mwenye taarifa ya mahali alipo Ndugu Komredi Abdulrahman Kinana, atujuze.

NB : Binafsi nmemisi kumuona.
 
Naona anatafuta kifo kwa lazima na lengo lake ni kulipiza kisasi kwa kile alichofanyiwa mzee wake.
Namuonea huruma.
 
Aisee kumbe kagame huwa anatudanganyaeeee eti wananchi wanataka niendelee kugombea......
ni maneno tu ila yeye ndo anacontrol kila kitu c umeona uyu wa kwenu kashabadilisha ya chama bado ya nchi ataibadilisha soon kila anayemkosoaga kagame jela au kutoweshwa , nadhani umeona taa aliyowasha uyo mkulu wenu
 
Huyo dada kuna uwezekano wa kuwa na ushawishi mkubwa siku za usoni, kwani kwa sasa siasa za Kagame zinaelekea ukingoni.
Dianne huenda akawa anaamini kwamba hawezi kumshinda kagame kwenye uchaguzi akashinda lakini ameamua kupaza sauti kuonesha kwamba rwanda hakuna demokrasia na haki za binadamu hasa uhuru wa kujieleza na usalama wa watu kama alivyosema, hatua hiyo itaweza kujenga hamasa kwa watu wenye mtazamo kama wake.
 
Back
Top Bottom