Mwanamke aiba mtoto wa siku kumi Morogoro

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja, Anna Luambano (33) mkazi wa Kipawa jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuiba mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa siku kumi, huko maeneo ya Kilimahewa katika Manispaa ya Morogoro.
 
kujisumbua kote huko mpaka aanze kuvizia aibe mtoto wa watu kwani ye hajui watoto wanapatikanaje akili zingine bhana
 
Back
Top Bottom