MWANAMITUMBA

MWANAMITUMBA

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,664
Wakuu namtafuta mwimbaji na mcheza ngoma za kienyeji maarufu miaka ya 1980 na 1990 aitwaye MWANAMITUMBA. Mara ya mwisho nilisikia yupo kijiji kimoja jina limenitoka huko BUKENE Tabora.
Mwenye taarifa naye naomba anipe.
Asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom