Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

Finally, Somebody is moving out of Grandma's house. He's the realest amongst the royal family, huwa jamaa anapenda sana kujichanganya na kuishi maisha ya kawaida nilihisi kuna siku atajitoa ktk hii familia abaki na jina tu bila kuwa na day to day royal duties hata kama asingemuoa huyu mke wake.
Akitoka atakosa benefits zote kama royal family member au kuna vitu vichache tu ndiyo atakosa mkuu,tujuze mkuu
 
Victory02, Kiukweli sijajua kwa undani sana maana alichofanya Harry ni tukio geni japokuwa kuna mtu aliwahi kujiondoa kuwa mfalme(Edward VIII) ili aoe mwanamke anayempenda. Ukisoma statement("work to become financially independent,") yao utaona watakachopoteza ni annual allowances ambayo hulipwa karibu pound sterling 2 million yeye na mke wake pamoja na security maana hawatakuwa ktk day to day royal duties. Yote haya yatafanyika slowly not in dramatic way.

Pia ukiunganisha dots huu mpango waliuanza mapema mtoto wao hana royal title wanataka mtoto aishi ktk ulimwengu wa kawaida bila kuwa na baggage ambayo huja na title.
 
Huyu mwanamke anampelekesha huyu jamaa na kuna uwezekano ndoa yao ikaota mabawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kamkuta kijana ana matatizo ya kumkosa mama yake badala ya kumsaidia
Huyu Meghan hana ndugu pia hapa na culture tofauti kibaya zaidi Royal family wana masharti mengi sana ambayo yamekuwa magumu kwake na pia ana tabia mbaya haelewani na baba yake na hata dada yake


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivi ukijitoa wanakupa mtaji wa kuanzia maisha huko unakoenda kuanza maisha mapya au unatoka pale mweupe?maana kama unatoka mweupe ni bora tu kuendelea kula hela za kwenye royal family kuliko kuja huku kwetu kwenye kula kwa jasho...

Ni sawa na kusema naacha kazi na gari ya kampuni naichukua you cannot have a cake and eat it


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Consultant psychologist anasema maisha yake hayawezi kuwa sawa kwani huyu kijana amezaliwa katika Royal family na sio kama mtu wa kawaida ambae ni millionaire na kutaka kuishi maisha anayotaka
Harry ni Prince hata kama atahamia canada bado atahitaji maisha ya kulindwa sana hawezi kutembea kwa matanuzi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivi Harry ni wa kwanza kuwa kwenye situation kama hii? (Ya kuwa ndugu yako mkubwa ndiye atainherit the throne) maana kila mtu “Harry will never be King” “Harry kazidiwa na watoto wa William” kwani mbona wakina Anne, Edward na Andrew hao hapo ndugu yao Charles anatazamiwa kumrithi Elizabeth na hawajawa vichaa, hawajajitoa royal family wala nini na maisha yanasonga tu.

Kwangu hii ni sababu weak. Tukubali tu kuwa Harry ni binadamu ana ambitions zake ana maamuzi yake ambayo si lazima yawe influenced na Kaka yake ana nini au atapata nini.
And since then Harry hajawahi kuwa interested na haya mambo ya royal family. Amekua akipenda kufanya vitu vyake ambavyo mara nyingi amekua anakiuka zile rules za royal family na mwishoe naona kaona isiwe shida. Na pia ya ndani mengi hapo unakuta pia royal family imemueka njia panda kaona hamna haja ya kuendelea kuwa kwenye cross roads bora achague destination yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom