Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,411
- 79,659
Ukaribu wa kimapenzi? Very interesting sikuwahi kujuaWalikua wanapendana sana.. ndie mwanamke aliyekua karibu nae zaidi baada ya Maria
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaribu wa kimapenzi? Very interesting sikuwahi kujuaWalikua wanapendana sana.. ndie mwanamke aliyekua karibu nae zaidi baada ya Maria
kama umenisoma vizuri utaona nimedokezea sababu ya magazeti ya udaku ya ulaya yanavyo mnanga Meghan (sababu ya race yake).Hivi Harry ni wa kwanza kuwa kwenye situation kama hii? (Ya kuwa ndugu yako mkubwa ndiye atainherit the throne) maana kila mtu “Harry will never be King” “Harry kazidiwa na watoto wa William” kwani mbona wakina Anne, Edward na Andrew hao hapo ndugu yao Charles anatazamiwa kumrithi Elizabeth na hawajawa vichaa, hawajajitoa royal family wala nini na maisha yanasonga tu.
Kwangu hii ni sababu weak. Tukubali tu kuwa Harry ni binadamu ana ambitions zake ana maamuzi yake ambayo si lazima yawe influenced na Kaka yake ana nini au atapata nini.
Kwanza alishasingiziwaga kuwa ni mtoto haramu. Ni bora kasepa zake na kamtaji alikopata ka usupa staa.Finally, Somebody is moving out of Grandma's house. He's the realest amongst the royal family, huwa jamaa anapenda sana kujichanganya na kuishi maisha ya kawaida nilihisi kuna siku atajitoa ktk hii familia abaki na jina tu bila kuwa na day to day royal duties hata kama asingemuoa huyu mke wake.
Walikua na ukaribu mkubwa ndio maana wengine wanaamini alikua mpenzi na walizaa..
Ndio; according to Injili yao ya Barnaba wanadai hivyo! Shetani huwezi kumzuia kuanzisha na kusambaza uzushi aupendao Mkuu. Shetani yuko kazini hivyo; chaguo ni lako kwenda pamoja naye au vinginevyo.Ni kwamba Yesu na Maria Magdalena walioana? Au hii bangi niliyovuta imefanya nisielewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
The Royal Family Marriage Act 2013 inamtaka member yeyote wa Royal Family up to 6th in line to the throne, kabla ya kuoa/olewa, apate approval kutoka kwa Her/His Majesty ili wao na vizazi vyao wabaki kwenye mstari wa urithi. Na, Prince Harry, akiwa 6th in line aliomba kibali cha kumuoa Meghan na aliruhusiwa. So, suala la "kukwaza familia" halipo kwani wasingemtaka Meghan wasingemruhusu.Nikiangalia saikolojia ya Harry naona kabisa kuwa anaamini The Royal Family ilihusika na kifo cha mama yake, Princess Diana. Ndiyo maana mara zote amekuwa akifanya vitu vya kitofautitofauti ili kumalizia hasira zake. Hata kumuoa Meghan nadhani, pamoja na mapenzi, ilikuwa kuikwaza tu familia yake kwa kuingiza damu ya mtu mweusi katika ukoo wa kifalme wa Uingereza.
Unamaaanisha Nini mkuu?Royal Famiy ilichomoa battery huyu dogo ameamua kuwasha kiberiti
Ukweli mtupuNikiangalia saikolojia ya Harry naona kabisa kuwa anaamini The Royal Family ilihusika na kifo cha mama yake, Princess Diana. Ndiyo maana mara zote amekuwa akifanya vitu vya kitofautitofauti ili kumalizia hasira zake. Hata kumuoa Meghan nadhani, pamoja na mapenzi, ilikuwa kuikwaza tu familia yake kwa kuingiza damu ya mtu mweusi katika ukoo wa kifalme wa Uingereza.
Hivi familia yenu ya kina SPENCER bado ipo South Africa au imerudi Ulaya?Ukweli mtupu
Halafu ukweli wote wa kifo cha mama ake kaushaujua! Nani na nani walihusika
Sent using Jamii Forums mobile app
pia Harry anapenda sana siasa, anaweza kuja kuwa waziri mkuu siku za usoniHampelekeshi, kwenye ufalme Harry yeye yupo nyuma sana hata kwa kitoto cha mwisho cha William, watoto waliokuja juzi juzi duniani leo ndio wenye haki kuliko yeye. Na kaka 'ake wanaweza kutotoa vingine maana Kate mwili wake uko poa, hivyo kuzidi kusahaulika.
Kwa maamuzi haya (ya kidijitali), Harry ataweza kujijengea jina lake (legacy) kama yeye na familia yake kwa foundation waliyoianzisha.
Pia wamejiondoa kwa heshima kuliko kufurumushwa kama baba yake mdogo alivyofanyiwa.Megan pia atakuwa huru kuwa kwenye 'spot light' kama alivyozoea wakati akiwa anacheza sinema.
Magazeti ya udaku ya Ulaya hayampendi Megan, hivyo watazidi kumchamba kadri siku zinavyokwenda wakati yale ya Marekani yanawapenda sana Harry na Megan.
Ni jambo la busara wao kujiongeza...
... ni Conservative au Labor?pia Harry anapenda sana siasa, anaweza kuja kuwa waziri mkuu siku za usoni
Charles Spencer?Hivi familia yenu ya kina SPENCER bado ipo South Africa au imerudi Ulaya?
Sent using Jamii Forums mobile app