Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

Ni jambo la busara kujiondoa, asingefanya hivyo angepotea kama akina Princess Margaret (mdogo wa malkia) na kizazi chake kilivyopotea kwenye media.
Princess Margaret of course lazima kizazi chake kiwe tu far from media...
So sidhani Kama iyo ni reason...hapa kikubwa ni mapenzi kwa Meghan tu
 
95% of Harry and Meghan income is funded by Prince Charles. The other 5% is funded by English Taxpayers. They will lose the 5%. Not a bad deal.
Meg has a lot of Money on her own from acting and modelling prior meeting Harry
And Harry has even more money esp his mothers' inheritance...
Yasemekana Princess Diana alimuachia vitu vyake vingi Harry kwani alitambua William atakua Mfalme mapema zaidi na si Harry

I know for sure hawajakurupuka
Na hata kama wamekurupuka they still have sehemu ya kurudi kuchota pesa...Royal Family bila kutegemea kodi za Wananchi wana utajiri mkubwa saaaaanaaaa
 
Ni jambo la busara kujiondoa, asingefanya hivyo angepotea kama akina Princess Margaret (mdogo wa malkia) na kizazi chake kilivyopotea kwenye media.
Nadhani si rahisi
Harry na Meghan wana nyota*, ni couple unique
Kutokana na jinsi walivyo...zaidi hata ya Will and Kate

Combination yao ni ya tofauti
Harry..baadhi ya polls amekua akitajwa ndie 'favorite royal family member' by UK citizens

Meghan muigizaji maaarufu mudaa hivyo ana fans wake wengi tu na km hio haitoshi ni Mmarekani
Mix na mambo ya fashion na nini

Meg akivaa kitu kina'sell out madukani in less than 48 hrs wanasema

Anajua kuvaa jmn..ana fashion taste nzuri zaidi ya Kate..ofcz she been a model,actress
 
kweli Harry na Meghan ni sensational couple ila tamaduni za royal family zinawafunika . Watoto wa William wakikuwa hakuna mtu atakuwa na habari na Harry - Meghan, hasa nje ya Uingereza.

Wanachotaka, ni kuanzisha mji wao ili kuhakikisha kizazi chao kiendelee kuwa huru na Udaku wa magazeti ya Uingereza. Nje ya Uingereza wao wataendelea kupata heshima kubwa sana hata pale William atakapokuwa Mfalme.
 
Princess Margaret of course lazima kizazi chake kiwe tu far from media...
So sidhani Kama iyo ni reason...hapa kikubwa ni mapenzi kwa Meghan tu

Mkuu:
Hapa napenda kutofautiana na wewe kidogo.
Chanzo cha kunyanyasika kwa Meghan ni Prince Harry. Kwani Harry amekuwa hathaminiwi sana kama mwana ukoo wa kifalme, na hadi kupelekea Meghan adharaulike na hii imedhihirisha zaidi pale walipo anza kazi za uakilishi wa Malkia katika jimbo la Sussex.
Ndipo walipo amua kuwa isiwe tabu.
Na hii ni kawaida kwa mtu yeyote yule mwenye kujitambua.
 
Yes hathaminiwi kwanini hakuachia while he was single au rightly after marriage?!
Despite all Kuna nguvu ya mapenzi Kati ya Harry na Meghan mpka kufikia huo uamuzi
Na ndio maana kwa kumpenda meghan na his baby ameamua kustep out to protect everything
 
Ni kweli, kwa nini hakutekeleza haya wakati akiwa hajaoa.
Ni vyema ufahamu kuwa, majukumu mazito ya kijamii ya kufanya kazi za uakilishi wa Malkia yameanza pale Prince Harry alipo funga ndoa na Meghan, nyuma ya hapo Harry alikuwa jeshini na akifanya kazi za kijeshi, kaka yake Prince William ndie aliye kuwa akipewa majukumu ya kazi za kifalme.

Baada ya Prince Harry kuoa ndipo yeye na mkewe Meghan kupewa jukumu la uakilishi wa Malkia katika jimbo la Sussex, hapo ndipo manyanyaso yalipo dhihiri kwa kasi kubwa na kibaya zaidi mkewe (Meghan) ndie aliye onekana kituko zaidi.
Sasa Mkuu ktk kadhia kama hii hata wewe binafsi ungefanyaje ili kuinusuru familia yako.
 
So sidhani Kama iyo ni reason...hapa kikubwa ni mapenzi kwa Meghan tu
Yes hathaminiwi kwanini hakuachia while he was single au rightly after marriage?!
Despite all Kuna nguvu ya mapenzi Kati ya Harry na Meghan mpka kufikia huo uamuzi
Na ndio maana kwa kumpenda meghan na his baby ameamua kustep out to protect everything
Alichofanya Harry si kuzidiwa na nguvu ya mapenzi bali amefanya maamuzi ya kiuanaume. Uanaume ni kufanya maamuzi ya kujitoa kwaajili ya kizazi chako. Yeye amewekeza vinasaba vyake pale kwa Archie.

Familia ya kifalme inajali wale tuu walio kwenye mtiririko wa ufalme, wengine wote wanabaki kama wasindikizaji tuu. Sasa Harry baada ya kupata mtoto ameamua kumtengenezea njia ili asije kuishi kwenye kivuli cha wengine, kama wakina Andrew na Edward wanaoishi kwa ruzuku.
 
Alichofanya Harry si kuzidiwa na nguvu ya mapenzi bali amefanya maamuzi ya kiuanaume. Uanaume ni kufanya maamuzi ya kujitoa kwaajili ya kizazi chako. Yeye amewekeza vinasaba vyake pale kwa Archie.

Familia ya kifalme inajali wale tuu walio kwenye mtiririko wa ufalme, wengine wote wanabaki kama wasindikizaji tuu. Sasa Harry baada ya kupata mtoto ameamua kumtengenezea njia ili asije kuishi kwenye kivuli cha wengine kama wakina Andrew na Edward wanaoishi kwa ruzuku.

Ha Ha Haaaaa!
Kuishi kwa ruzuku.
Siku ikikatwa.
 
Back
Top Bottom