Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

... uko sahihi! Prince Harry is 6th in line to the throne na hapo, kama ulivyoeleza, ni endapo William hatoongeza mtoto which means (Harry) atazidi kutupwa pembezoni kabisa huko. Kutegemea angalau watu watano wenye sifa wafe ndipo wewe uchukue nafasi ni zaidi ya ukichaa. Ingekuwa Afrika huku ni rahisi kuloga ukawamaliza wote lakini sio Ulaya. Wameamua kujiongeza.

===== UPDATES - 16/01/2020 =====
Chachu Ombara, Chamoto, black sniper, Diana Spencer mkewe Prince William hatimaye amethibitisha William hataki watoto zaidi. Hawa jamaa kumbe wanachungulia mijadala humu JF maana hoja ya William kuongeza au kutokuongeza watoto ilijadiliwa sana kwenye huu uzi. Naona wameamua kutoa ufafanuzi. Case closed. Au ni kijembe kwa Harry kwamba asiogope, nafasi yake ya 6 kwenye foleni ya urithi haitaathirika?

Source: Kate Middleton Says Prince William Doesn't Want Any More Children
 
Hii mijadala imejaaa huko mitandaoni hasa hasa yahoo. May be ndo source ya wengi wanaochangia humu. Toka nje ya JF ujionee mengi na kugundua ya undani zaidi kuhusu Royal family
... uko sahihi! Prince Harry is 6th in line to the throne na hapo, kama ulivyoeleza, ni endapo William hatoongeza mtoto which means (Harry) atazidi kutupwa pembezoni kabisa huko. Kutegemea angalau watu watano wenye sifa wafe ndipo wewe uchukue nafasi ni zaidi ya ukichaa. Ingekuwa Afrika huku ni rahisi kuloga ukawamaliza wote lakini sio Ulaya. Wameamua kujiongeza.

===== UPDATES - 16/01/2020 =====
Chachu Ombara, Chamoto, black sniper, Diana Spencer mkewe Prince William hatimaye amethibitisha William hataki watoto zaidi. Hawa jamaa kumbe wanachungulia mijadala humu JF maana hoja ya William kuongeza au kutokuongeza watoto ilijadiliwa sana kwenye huu uzi. Naona wameamua kutoa ufafanuzi. Case closed. Au ni kijembe kwa Harry kwamba asiogope, nafasi yake ya 6 kwenye foleni ya urithi haitaathirika?

Source: Kate Middleton Says Prince William Doesn't Want Any More Children
 
Mambo tayari huku
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mambo ni makubwa..Sasa itakuaje

Hawatatumia hadhi ya HRH tena kuanzia mwezi wa tatu hivi
Na hawapewa tena public fund kwa kazi za kifalme
Hii Ina maana hawata muwakilisha tena Malkia kwa shughuli zake
Pia itabidi wazilipe hela za matengenezo ya mjengo wao ambazo zilikuwa ni za umma

Maskini....Ila it's okay I think watabidi wakubaliane na Hali halisi na passing through the path they have chosen
 
Kweli kabisa ni maamuzi yao na baraka zote zimetoka kwa Malkia
Malkia alitoa Amri kuwa hili jambo liishe in days na washauri hawakulala mpaka wamefika tamati
Natumaini watafanya yao
Ila inahuzunisha sana Harry anapenda sana jeshi kama mimi
Ndio hivyo tena
Kuna ule wakati wa vita vya Iraq alitaka kwenda akakataliwa aliamua kwenda kuzitutika na ndio mwanzo wa kuanza kuvurugikiwa

I wish to see his other side
Ngoja tuwape miaka.miwili
 
I wish to see his other side
Ngoja tuwape miaka.miwili

Naona J Trudeau ameisha waandalia makazi huko
Ila kazi itabaki ya kuwalinda mpaka Archie shuleni
Well tusubiri tuone

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom