Nimepokea ujumbe ufuatayo kutoka kwa Bwana Salim Said Rashid, Katibu wa Kwanza wa Baraza la Mapiduzi, Januari 1964 Zanzibar:
MWITO KWA WAZANZIBARI
Kwa muda mrefu mpaka hivi sasa hali halisi ya Zanzibar kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni hairidhishi. Wazanzibari walilazimika kustahmili kutokana na matumizi ya jeshi na polisi kwa sababu za kisiasa wameogopa kuyatetea maslahi ya nchi yao tajiri yenye historia ya takriban miaka elfu mbili kama ilivoyo andikwa na mwana historia wa Kigreeki baada ya kufanya ziara ya Zanzibar wakati huwo. Hali hii ambayo ilianza tarehe 26 April 1964 ulivyo asisiwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Mwalimu Nyerere na kuifanya Zanzibar isite kua taifa huru Mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Ikawa kikatiba haina mamlaka ya mwisho ya kufanya maamuzi ya mambo yake ya ndani na nje kuliko ilivyokua wakati ikitawaliwa na mkoloni wa Kingereza. Baada ya shinikizo kutoka mashirika ya kimataifa na khusuusan mataifa ya magharibi na madai ya Wazanzibari ya mfumo wa vyama vingi hapa Zanzibar umeanzishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Kwa bahati mbaya tangu kuanzishwa na mkoloni wa Kingereza utaratibu wa vyama vingi vya kisiasa 1957 Zanzibar imeingia katika migogoro ya kisiasa baina ya vyama viwili na kuyapa fursa mataifa ya kigeni kama vile Tanganyika kuwa na uwezo wa kuifutia madaraka na mamlaka Zanzibar kama ilivyo fanya Hati ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ambao umeleta madhara makubwa kwa vile Zanzibar imesita kuwa na uwezo kamili wa kujitawala kama inavyo stahili. Wakati umefika wa kila Mzanzibari kutathmini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutazama athari mbaya kwa Wazanzibari na taifa lao. Kwa vile Muungano haukupata ridhaa ya Wazanzibari ambao ili bidi washirikishwe katika suala muhimu kama hili la kupoteza mamlaka ya nchi yao Wazanzibari waiombe Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iitishe kwa mujib ya sheria ya Zanzibar kura ya maoni mapema iwezekanavyo bila ya kujali itikadi za vyama vya kisiasa endapo wanataka kuendelea na Muungano au wanapendelea Uhuru wa Zanzibar.
Salim Said Rashid, Katibu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi, January 1964
hata mimi sioni faida yoyote ya huu muungano, kama vp uvunjike tu kila nchi iangalie mambo yake.
Shida gani mkuu fafanuaHivi visiwa huwezi kuviacha vitaleta shida
Hivi visiwa huwezi kuviacha vitaleta shida
Hii habari ni ya lini? Maana sijaona mantiki Wala maudhui.. Anadai kwa nani huo Uhuru? Na Zanzibar anayoiita Tajiri nilikuwa ni Mali ya sultan so atueleze katumwa na sultan ? Zanzibar mwaka 1964 isingeachwa iendelezwe na warafi Wa madaraka wakiuana kila siku na Dunia ikae kimya... Huyo sultan ndie mwenye haki ya kudai Uhuru kutoka Tanganyika na sio lizembe lolote vivu la lenye chuki na pia aelewe kuwa Sultan hatoweza tena kurejea uarabu unamnyima sifa
Hivi wazanzibar wanamdai nani uhuru?
Zanzibar ilitawaliwa ni muengereza ndio maana jemshid alikimbilia uengereza hakwenda uarabuniHii habari ni ya lini? Maana sijaona mantiki Wala maudhui.. Anadai kwa nani huo Uhuru? Na Zanzibar anayoiita Tajiri nilikuwa ni Mali ya sultan so atueleze katumwa na sultan ? Zanzibar mwaka 1964 isingeachwa iendelezwe na warafi Wa madaraka wakiuana kila siku na Dunia ikae kimya... Huyo sultan ndie mwenye haki ya kudai Uhuru kutoka Tanganyika na sio lizembe lolote vivu la lenye chuki na pia aelewe kuwa Sultan hatoweza tena kurejea uarabu unamnyima sifa
We jamaa mda mflani nakukubali. Ila some times unazingua kwa hili nimekusoma broMsameheni bure Bwana Salim Said Rashid, ambaye ni Katibu wa Kwanza wa Baraza la Mapiduzi Zanzibar, baada ya yale Maponduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, 1964, atakuwa amepoteza kumbukumbu due to old age, hivyo atakuwa anakabiliwa na tatizo la highest state of mind incapacitation, hivyo kupoteza kumbukumbu kuwa Zanzibar ilipata uhuru wake December 10, 1963 kutoka kwa wakoloni Waingereza.
Hata hivyo huyu Mzee yuko very right kuwa Wanzanzibari hawakuulizwa, wala muungano haukuridhiwa kwa upande wa Zanzibar, yaani ratification process ilifanyika kwa upande mmoja tuu wa muungano huku bara, ila hata bila ya ratification, bado muungano uliridhiwa not expressly by ratification but impliedly by performance.
Muungano ni kama ndoa ili iwe ni ndoa halali, lazima ndoa hiyo ifungwe kwa ridhaa ya wanandoa husika.
Ikitokea ukambaka mwanamke na kumlazimisha kuwa mkeo, ndoa hiyo inakuwa sio ndoa batili,(void), bali ni ndoa batilifu (voidable), ambayo inaweza kuhalalishwa kugeuka halali au kubatilishwa kugeuka batili hivyo kuwa ni void ab initio.
Mwanamke akibakwa akawekwa mateka kinyumba, atahesabika anaishi kwenye dhana ya ndoa (presumption of marriage) na akitoa huduma zote za kindoa ikiwemo consumation bila kupinga, atahesabiwa ameridhia kubakwa kule, hata bila sherehe ya ndoa,hata bila ahadi ya ndoa ya kusema ndio, atahesabika yuko kwenye ndoa halali, ambapo uhalali wa ndoa hiyo iliyoanzishwa kwa kubakwa ni performance ya ndoa hiyo.
Vivyo hivyo ndivyo huu muungano wetu ulivyo, japo Zanzibar haikuridhia muungano huu expressly by ratification, lakini imekuwa ukivitekeleza vipengele vya muungano huu bila kipingamizi kwa kipindi cha miaka 52 sasa, hivyo kuhesabika imeridhia impliedly by performance.
Unaweza kunisoma zaidi hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-zanzibar-haikuridhia-muungano-ina-maana-gani.
https://www.jamiiforums.com/threads...chi-halali-kisheria-de-jure-bali-ni-de-factor.
https://www.jamiiforums.com/threads...ano-kilichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano?!.
Paskali
Mkuu Interface; ukiweza kunikumbusha wapi nilizingua, nitajichunguza.We jamaa mda mflani nakukubali. Ila some times unazingua kwa hili nimekusoma bro
Yaani hoja zako ww ni kuufananisha muungano huu ni wa mke na mume wala huelewi kuwa hizi ni nchi,hoja hapa ni uhuru wa zanzibar ulioporwa na mkoloni mweusi kwa hadaa ya koti la muungano.Msameheni bure Bwana Salim Said Rashid, ambaye ni Katibu wa Kwanza wa Baraza la Mapiduzi Zanzibar, baada ya yale Maponduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, 1964, atakuwa amepoteza kumbukumbu due to old age, hivyo atakuwa anakabiliwa na tatizo la highest state of mind incapacitation, hivyo kupoteza kumbukumbu kuwa Zanzibar ilipata uhuru wake December 10, 1963 kutoka kwa wakoloni Waingereza.
Hata hivyo huyu Mzee yuko very right kuwa Wanzanzibari hawakuulizwa, wala muungano haukuridhiwa kwa upande wa Zanzibar, yaani ratification process ilifanyika kwa upande mmoja tuu wa muungano huku bara, ila hata bila ya ratification, bado muungano uliridhiwa not expressly by ratification but impliedly by performance.
Muungano ni kama ndoa ili iwe ni ndoa halali, lazima ndoa hiyo ifungwe kwa ridhaa ya wanandoa husika.
Ikitokea ukambaka mwanamke na kumlazimisha kuwa mkeo, ndoa hiyo inakuwa sio ndoa batili,(void), bali ni ndoa batilifu (voidable), ambayo inaweza kuhalalishwa kugeuka halali au kubatilishwa kugeuka batili hivyo kuwa ni void ab initio.
Mwanamke akibakwa akawekwa mateka kinyumba, atahesabika anaishi kwenye dhana ya ndoa (presumption of marriage) na akitoa huduma zote za kindoa ikiwemo consumation bila kupinga, atahesabiwa ameridhia kubakwa kule, hata bila sherehe ya ndoa,hata bila ahadi ya ndoa ya kusema ndio, atahesabika yuko kwenye ndoa halali, ambapo uhalali wa ndoa hiyo iliyoanzishwa kwa kubakwa ni performance ya ndoa hiyo.
Vivyo hivyo ndivyo huu muungano wetu ulivyo, japo Zanzibar haikuridhia muungano huu expressly by ratification, lakini imekuwa ukivitekeleza vipengele vya muungano huu bila kipingamizi kwa kipindi cha miaka 52 sasa, hivyo kuhesabika imeridhia impliedly by performance.
Unaweza kunisoma zaidi hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-zanzibar-haikuridhia-muungano-ina-maana-gani.
https://www.jamiiforums.com/threads...chi-halali-kisheria-de-jure-bali-ni-de-factor.
https://www.jamiiforums.com/threads...ano-kilichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano?!.
Paskali
Power mongers! Simply walafi wa madaraka wenye madai kama haya!