MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

Nimeipenda sana hiyo mbinu, inabidi sasa kila familia inapojiandaa kwenda kulala wahakikishe ndani kuna maji yasiyopungua hata majagi mawili kwa ajili ya kujilinda na vibaka wavamizi........Pole sana mkuu Moto chini

We usiige japo nivizuri, hilojambo naamini limetokea kipindi cha Tindikali hivyo wao walidhani ni #Tindikali wakakimbia pia ujue kuna vibaka,wezi,na majambazi hawa wote nilengo moja staili yao tofaut.
 
Last edited by a moderator:
mkuu pole sana na hongera sana..kutokana na hili tukio nakutangaza rasmi kuwa celebrity..mods hamishieni huu uzi jukwaa la celebrity
 
Ndugu wanajamvi habari zenu,

Mwana JamiiForums mwenzetu amevamiwa na watu wasioulikana nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo. Watu hao walifanikiwa kuvunja mlango wa nyumba yake na kumkuta akiwa na simu mikononi. Kwa maelezo yake, alikuwa katika Jukwaa la Siasa akijaribu kusoma baadhi ya taarifa ndani ya JF.

Ghafla alishitushwa na sauti ya kubomolewa kwa mlango kisha tochi ikimulika macho yake na kuambiwa atulie papohapo. Akapigwa Mapanga kichwani, mdomoni, mikononi, na tumboni; walisikika wakisema aoneshe mahali pesa zipo. Waliweza kuchukua Pikipiki, TV 2, Deki 1, Baiskeli 1 na Pesa taslimu 270,000/=.

Humu anatumia ID ya MOTOCHINI.

Tumuombee mwenzetu akiwa kalazwa mpaka sasa!

===================

Pole sana mtani wangu MOTOCHINI aisei hii nimeiona saa hii, natumai umepata nafuu, hiyo ichukulie tu kama changamoto za maisha, Mungu akujalie na upate kubarikiwa maradufu zaidi ya ulichopoteza.
 
Last edited by a moderator:
mwanga lutila

Hii mitandao ya kijamii imetufanya kuwa wapuuzi sana hata katika mambo ya msingi.. Tumeshindwa hata kulinda usalama wetu eti tu kwasababu tunawakikishia watu kuwa mambo flani yametukuta(team weka picha) . Kumbuka umepambana na majambazi wapo waliotoroka hivyo unavyoweka picha yako wanaweza kukutafuta na kukudhuru kwa sababu umemuua rafika yao.

Pili kumbuka huyo uliyemuua ana ndugu pia hivyo wanaweza kukutafuta wa wakakudhuru kwa kumuua ndugu yao. Nakupa pole na nakupongeza kwa kuweza kujitetea lakini sikubaliani na uamuzi wako wa kuweka picha yako hapa . Usalama binafsi ni jambo muhim sana.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanajamvi habari zenu,

Mwana JamiiForums mwenzetu amevamiwa na watu wasioulikana nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo. Watu hao walifanikiwa kuvunja mlango wa nyumba yake na kumkuta akiwa na simu mikononi. Kwa maelezo yake, alikuwa katika Jukwaa la Siasa akijaribu kusoma baadhi ya taarifa ndani ya JF.

Ghafla alishitushwa na sauti ya kubomolewa kwa mlango kisha tochi ikimulika macho yake na kuambiwa atulie papohapo. Akapigwa Mapanga kichwani, mdomoni, mikononi, na tumboni; walisikika wakisema aoneshe mahali pesa zipo. Waliweza kuchukua Pikipiki, TV 2, Deki 1, Baiskeli 1 na Pesa taslimu 270,000/=.

Humu anatumia ID ya MOTOCHINI.

Tumuombee mwenzetu akiwa kalazwa mpaka sasa!

===================

pole sana mwenyeezi mungu akujalie upone haraka na afya kuimarika
 
mwanga lutila

Hii mitandao ya kijamii imetufanya kuwa wapuuzi sana hata katika mambo ya msingi.. Tumeshindwa hata kulinda usalama wetu eti tu kwasababu tunawakikishia watu kuwa mambo flani yametukuta(team weka picha) . Kumbuka umepambana na majambazi wapo waliotoroka hivyo unavyoweka picha yako wanaweza kukutafuta na kukudhuru kwa sababu umemuua rafika yao.

Pili kumbuka huyo uliyemuua ana ndugu pia hivyo wanaweza kukutafuta wa wakakudhuru kwa kumuua ndugu yao. Nakupa pole na nakupongeza kwa kuweza kujitetea lakini sikubaliani na uamuzi wako wa kuweka picha yako hapa . Usalama binafsi ni jambo muhim sana.
hata asipowweka picha hao ndugu wa mwizii na majambazi wenzake tayari wanamjua na kwake wanakujua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom