MwanaJF Malisa GJ amefunga ndoa leo jijini Arusha

Ongera kamanda malisa,karbu kweny chama cha free from chama cha wahuni means makapera
 
Nassari ana mke?
Mcheki Nassari hapa:

JOSHUA NASSARI-WEDS.jpg
 
Acha wivu vaa na ww tuone

Mkuu siku za Jumapili huwa sipendi ' Ligi na Majibizano ' hasa kwa kuiheshimu hii siku ILA kwa jinsi unavyojijaza mwenyewe taratibu katika ' frame ' naweza ' kujisahaulisha ' kwa ' makusudi ' kama leo ni Jumapili halafu ' nikakuwasha ' vile vile na tuweze kwenda sawa. Shauri yako!
 
Back
Top Bottom