mwanajf aliyepo ngudu kwimba

mwanajf aliyepo ngudu kwimba

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
Wakuu nipo ngudu wilaya ya kwimba,kwa mwana jf aliyepo huku tunaweza onana kufahamiana
 
Msalimie mdogo wangu hapo Ngudu Wilayani ni Katibu Muhtasi. Sema yeye sio membs hapa!
 
Weka picha ya hata kamtaa tuone kama kweli upo ngudu
 
Kwani wa Ngudu wanaweza kutumia JF?
 
Back
Top Bottom