Mwanajeshi wa Israel afukuzwa kazi baada ya kukataa kumuua mtoto wa kipalestina

Ngd usiseme israel ina idad ndogo ya raia lkn ndo wana control dunia hata ss tungekuwa na akil tungefanya hvo hata mtu mmoja anaweza ku control dunia n akil wametuzd mm na ww akili zetu ndogo sn
 
IMG_20170611_212600.jpg
 
Misukule na uhaba wa elimu ya dini mtu kafeli form four hajaenda hata chuo cha kusomea bible hajui A wala z anajita nabii anaajifanya anaponya uwezo wake wa kufikiri ni zero anajaza mazombi anawaita kondoo wake kaz inaanza kama mtu unabishia angalia tu channel ten utaona jinsi watu wanavopiga pesa kizembe kwa misukule. Angalia waroma kwa kua mapadri wamesoma na wanawajua vzr wanaojiita wanaisrael wa kileo uone kama ataishobokea hyo nchi inayoongoza kwa kua na gays weng ulimwenguni afu unakuta mbongo kashika bendera ya Israel anaibusu et taifa teule cjui watu wa pepon nan kakwambia jews waliopo Israel ndo wale waliookolewa na Mussa hawa jamaa wameenda Palestine mwaka 1945 juz tuu kuanzisha nchi na mussa ni wa miaka maelfu ilopita ssa unakuaje na uhakika kama ndo ile specie ya kipind kile. Unatakiwa kwanza uwe zombi na mzito kufikiri ndo utakua m........
Wewe utakuwa ni mvalishwa mabomu kifuani tu hakuna chochote. Wewe lini ulinganishe Helena wa madhehebu ya kilokole dhidi ya wakatoliki? Uliza wenye ufahamu owe Tanzania ama Marekani au Ulaya, hakuna watu wanaojitambua dunia ni kama waprotestant. Una kweli just kakuungaunga, hata kama wakatoliki ni wengi nchini lakini huwa kwenye elimu huwa wanakaa. Wewe unategemea ukombozi wako utoke kwa kiongozi aliyesomea dini, lakini waprotestanti wanakwambia wokovu uko kwa Yesu tu na hakuna mwingine.
 
Maprotestant mmetujazia manabii uongo duniani hivi mnamchezea mungu nyie ole wenu subirini ile siku parapanda italia mtaomba msamaha ila mtaishia motoni
 
Mimi naunga mkono Israel kuuwa wapalestina wanaojifanya wanavurugu, wapalestina wanapandishwa mizuka ya hasira na wachache alafu wanaishia kuuwawa.....mtu silaha huna alafu unataka kupigana ma mtu mwenye AK47
Nini maana ya mwanajeshi mtu hana silaa kama sio unevu ni nini acha wewe ebu angalia kama una bint apo mpige lungu la kichwa kama kweli unaunga mkono huyo bint kuuwawa
 
Jeshi la utawala wa Kizayuni limemfukuza mwanajeshi mmoja aliyekataa kumpiga risasi binti wa Kipalestina aliye na umri wa miaka 16 kwa jina la Nauf Infiat.
Katika tukio hilo ambalo lilijiri mwanzoni mwa mwezi huu katika lango la kuingilia katika kitongoji cha Wazayuni kwa jina la Mevou Dotan huko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, mwanajeshi huyo wa Kizayuni aliyefukuzwa jeshini hakuwa tayari kummiminia risasi binti huyo wa Kipalestina, ambapo mwanajeshi mwingine alimpiga risasi binti huyo na kumjeruhi vikali na hatimaye binti huyo kuaga dunia siku moja baadaye.
Baada ya kumchunguza mwanajeshi huyo aliyekataa kumpiga risasi binti wa Kipalestina, jeshi la Israel lilisema kuwa mwanajeshi huyo hakuonyesha radiamali inayofaa mkabala na binti huyo wa Kipalestina. Jeshi hilo limedai kuwa, binti huyo wa Kipalestina alikuwa na lengo la kumshambulia mwanajeshi Mzayuni katika lango la kuingilia katika kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi cha Mevo Dotan. Hadi kufikia sasa, Wapalestina zaidi ya 300 wameuawa shahidi na wengine wengi wametiwa mbaroni na wanajeshi wa Israel tangu kuanza Intifadha ya Quds mwezi Oktoba mwaka 2015.
Parstoday.com
Nini lengo la post hii? Mwenye post hii anajaribu kujionesha yeye ni wa mlengo upi? Je faida ipi kwa wasomaji? Nini funzo alilolenga kwa majeshi yetu? Nini amwkusudia kwa jamii ya Kitanzania? Au yeye binafsi anatabia ipi? WANDISHI WA JINSI HII NI SHIDAAAAA.
 
Ulitaka awe mkristo au mpagani israel ni taifa la kishetani kazi kuuwa watu wasio na hatia ingekuwa ISIS wamefanya hayo ungesikia kelele nyingi kana kwamba damu ya waislam ni haki kumwaga ya wengine ndio ugaidi hamna haki duniani ila ipo siku dunia yote mnayoringia itaangamizwa hakuna kitakachobaki sio trump wala netanyahu pale haki itakaposimama
Mkuu afu hapo hapo utaambiwa hili ni taifa teule,,,
 
Ulitaka awe mkristo au mpagani israel ni taifa la kishetani kazi kuuwa watu wasio na hatia ingekuwa ISIS wamefanya hayo ungesikia kelele nyingi kana kwamba damu ya waislam ni haki kumwaga ya wengine ndio ugaidi hamna haki duniani ila ipo siku dunia yote mnayoringia itaangamizwa hakuna kitakachobaki sio trump wala netanyahu pale haki itakaposimama
Usipende kulaani maana kwa kuilani
Israel utalaaniwa wewe na kizazi chako
UKWELI NDIO HUO
 
Back
Top Bottom