Mwanajeshi anitapeli

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Ndugu wana jambo Forum kwa kutambua mchango wa Jambo forum napenda kuomba msaada katika tatizo langu hili kwani ninaaminia Wanajambo forums.
 
POLE SANA MTANZANIA MWENZANGU......WHAT YOU HAVE DONE KUINUA KIPATO CHAKO IS VERY REASONABLE......!MATAPELI HURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WATU WENGI.....!
KUHUSU HUYU OSWARD PETERNI VIZURI KUPATA HIS SURNAME....KIKOSI TAYARI KINAJULIKANA, ILA KWA MAWAZO YANGU AMBAYO YANAWEZA KUWA SIYO SAHIHI,ILA YAPO KATIKA KUTOA MSAADA NI KUWA....!
TRY TO GET HIS NUMBER(popularly known as MT number),THEN GO TO REPORT TO YOUR EMBASSY/CONSULATE.........!THEY CAN CHECK WITH JWTZ HQ IF THE ONE SAID IS AVAILABLE,KAMA KWELI YUPO NA KUNAONYESHA KUWA ANAHUSIKA I HOPE RIGHT MEASURES ZITACHUKULIWA KUMALIZA HILI SUALA PEACEFUL PASIPO KUHARIBIANA MAISHA......!
THANK YOU....!
 
Kilangwe

Pole Kwa Yaliyokukuta

Nimesaidia Kutuma Ujumbe Huu Kwa Watu Wengi Zaidi Kwahiyo Tegemea Kupata Majibu Baada Ya Muda Mfupi Ujao Nafikiri Utakuwa Tayari Kushirikiana Kwa Dhati Kwa Vyombo Vya Sheria Na Usalama Wakitaka Ushiriano Wako Zaidi

Ahsante Sana
 
I know this man! sio mwanajeshi ni raia anayefanya kazi jeshini ana maneno mengi sana nakweli yupo Kisarawe!

Hakuna mtu pale makao makuu ya jeshi ukimuuliza Osward atakuwa hamjui! Hana MT namba ila ana Civ. Unaweza kumkamata vizuri tu, hakuna sheria inayozuia kumkamata hata awe askari, akifanya kosa kama hilo ni jinai ambyo sheria za jeshi hazihusiki kabisa! Mkuu wa kikosi analazimika kumtoa mhalifu pale tu unaporipoti polisi!

Tatizo litakuja kuhusu ushahidi sasa kwani mlipeana kiushkaji!

 
Tafuta wakili aku represent. Ninachofanya mimi nakubaliana nae kiasi gani. Nampa kazi alafu nasahau. Kesi ikiisha unamalizia kiasi kilichobaki. Wakili anaweza kukugharimu kama $600 hivi tu. Na atafanya kila kitu kuanzia kwenda kufungua kesi polisi bongo, kumfuatilia mtuhumiwa na kuhakikisha kuwa ni kweli na kusimama nae mahakamani siku ya kesi. Kwa ujuzi wangu mimi jamaa atakubali kulipa kidogo kidogo. Wakili ataakikisha mahakama ni shahidi na hela zinakusanywa kwa amri ya mahakama.
 
I know this man, He is an accountant. Used to work at makao makuu ya jeshi then he was transfered to zanzibar now i dont know where he works. Just go where you hear he is working and talk to his bosses
 

KWELI KUNA WATU NA VIATU......KUNA MEMBER ALIWAHI TOA HOJA KAMA HII YA KUTAPELIWA......VIATU...OH NO.....WATU WAKAMPINGA SANA(nahisi alikata tamaa)....LAKINI KWA HILI TUKOMAE MPAKA HAKI YA WATU IPATIKANE....!WAZO LA KUTAFUTAA WAKILI NI ZURI.....NAKUSHAURI SLAVE UMTUMIE PM KILONGWE ILI MSAIDIANE KWA MAWASILIANO....HOPE THIS WILL WORK.....!
 
Nashukuru wazee kwa moyo wenu na naahidi tupo pamoja,by the way mimi nipo tayari kutoa ushirikiano wowote katika hili sualakwani kama mujuavyo mimi ni mwanafunzi tena uchinani sehemu ambayo kuingiza yuan miamoja ni kama kuangusha simba kama kweli unataka kufanya lilokuleta nikimaanisha Elimu.
Alunta kontinua....
 
Kilongwe Pole Sana Mkuu, Ila Jitahidi Kufatilia Haki Yako Mkuu.


Penye Nia Ipo Njia
 
Wewe Kilongwe,hayo mamilioni ya pesa uliyapata wapi na wewe ni mwanafunzi,au unatoka familia za kifisadi?Naingiwa na hofu na hiyo shule yako.
 
Mlalamikaji

Unaweza Kutoa Majina Yako Kamili Namba Zako Za Simu Na Taarifa Zingine Iliiwe Rahisi Kuwasiliana Na Wewe?
 
kama mtu anataka kuwasiliana nami basi waweza kunitumia private message kwa kuanzia.
 
a lesson i once learned, never trust anyone, hasa kwa maswala ya pesa. Kama unampa mtu pesa kwa madai, nafuu umpe mtu wa karibu yako sana, kama kaka au dada ambaye utajua hata asiponilipa inakuwa kama umemsaidi kwa maana ni damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…